Vinara wa Soka Waliopotea Kabla ya Wakati Wao!

kwa miaka 10 iliyopita striker yeyote aliyehamia AC milan alitakiwa awe shupavu na mwenye kufunga kweli magoli ili uweze kuwashawishi B&G...ndo maana kina Ricardo Oliveira walipita pale, kina Gilamarnia ama Gilardino, kina Crespo, Javi Moreno, nk nk nk ambao walipita na kuwaacha Pippo na Sheva wakiendelea kutukuzwa kwa ajili tu ya uviziaji...
Forza Milan
 
16.Fernando Redondo,jamaa alitoka Real Madrid akaenda AC Milan.Na kama kawaida yao Milan wakaua kipaji adimu ambacho dunia imewahi kukiona.The guy was very skilled and stylish,a real playmaker!!

jamaa Real madrid ilimpenda kipindi kile.. nakumbuka oldtraford chapions ligue kipindi kile Madrid Vs Man U.. redondo alivochakachua beki za Man UTD kutoka kwenye winga na kumuachia pass nzuri El Angel del Madrid kpindi hicho rahul.

yuwapi Redondo..?????
 
unajuwa haileti maana kumtaja mtu kama Ibracadabra ambaye kabeba ndoo akiwa na Ajax na juve na Inter, na Barca na sasa yuko kileleni na AC Milan huku akiwa katoka kuwanyuka mabingwa wa ulaya Inter.

iko siku mtakuja kuandika hata Pato pia kapotea.
Companero plz wasahihishe wachangiaji tafadhali.

Kuna watu wa kuwaweka humu kama kina Owen, Henry, Reyes, Gilberto, ryan Babel, overmars, edu...nk nk nk

Mkuu nimeshawasahihisha wadau wa soka kuhusu Ibracadabra hasa ukizingatia majuzi kawapiga bao Inter, cheki vizuri posti zangu hapo juu...

Ila kuhusu Gaucho sikubaliani na wewe, nimemcheki juzi akicheza na kina Messi, bado kinda hivyo hastahili kuwa mzito vile, anahitaji hamasa...
 
dah mkimtaja okocha jamani machozi yananitoka, halafu nashangaa hamumtaji Nwanko Kanu, inaniuma sana nikikumbuka jamaa alivyokuwa akipiga vyenga na kuwafunga argentina na brazil kwenye olimpiki ya us 96, walikuwepo akina finidi george, tijan babangida, samsom siasia ile timu ilitisha. mnamkumbuma patrick kluivert wakati ule ajax
a
 
dah mkimtaja okocha jamani machozi yananitoka, halafu nashangaa hamumtaji Nwanko Kanu, inaniuma sana nikikumbuka jamaa alivyokuwa akipiga vyenga na kuwafunga argentina na brazil kwenye olimpiki ya us 96, walikuwepo akina finidi george, tijan babangida, samsom siasia ile timu ilitisha. mnamkumbuma patrick kluivert wakati ule ajax
a

Hapa tunazungumzia tu wachezaji waliopotea kabla ya wakati wao japo walikuwa na kiwango cha juu sana, yaani, ama walistaafu au walikwisha kabla ya muda wao - watu kama Dahlin wa Sweden na Viola wa Brazil!
 
mkuu sonda yupi huyu? ninayemjua mimi alikua Tambaza 1988-91 na hakuwa mchezaji bali mabange tu
SAleh Sonda- RIP, Huyu bwana alisomea pale Arusha Tech then alikuja chezea Simba kabla ya kuacha football na baadae kufariki dunia.Alikuwa anacheka sana na nyavu...kifupi alikuwa bonge la mchezaji enzi zake.....Mabange = good footballers.
 
Soma kichwa cha habari kwanza before kuandika kila mchezaji uliyempenda.Hapa wanaongelewa waliopoteza vipaji wakiwa bado wabichi like Reyes,Jeffers,Gaucho et al.Sio wazee akina Kanu wamecheza mpaka mvi.Angalia tena watoa maoni hapo juu.Dont generalise all good footballers!!!!hope nimeeleweka.
a[/QUOTE]
 
msimu ulopita Dinho kaongoza kwa Assist sere A nzima.
ni majerui tu ya kina Nesta, Pirlo na Pato.
Lakini kama timu ingekuwa sawa basi Milan wangetwaa ndoo.
So kumuweka Dinho humu ni dhambi
 
aah! Steve Mc manaman kacheza banaa! Mbona kagonga sana ngozi, labda nambie Jamie Redknap, Milan Baros, Giogios Samaras, Odonkor na Asamoah wa Germany.
baba kweli huyu majeruhi yamemfanya aache kucheza mapema Jamie Redknap mtoto wa harry rednknapp,captain wa liverpool huyu alikuwa
 
16.Fernando Redondo,jamaa alitoka Real Madrid akaenda AC Milan.Na kama kawaida yao Milan wakaua kipaji adimu ambacho dunia imewahi kukiona.The guy was very skilled and stylish,a real playmaker!!

Denilson Machenga wa Brazili naye aliishia wapi au ndiyo yale yale ya mgema akisifiwa?

huyu bwana alikuwa na kichaa cha chenga! za maudhi.. alisababisha Hasan sas kipindi cha kombe la dunia korea /japan alipewa red card kwa ajili yake.. denilson anaenda hadi golini hafungi hatoi pasi.. anarudi kwenye winga .. brasil ya kipindi kile ilikuwa nzuri saana!! sababu mbele kulikuwa na combination ya ronaldo & rivaldo.. nimemsahau beki wao ... jina lilikuwa linaanza na L
 
hivi wakuu inzaghi alikuwa na mdogo wake .. bado anasakata kabumbu ? am talking about simione inzaghi kama sikosei.. ama hawakuwa ndugu hawa?
 
Back
Top Bottom