Vimwana Miss Dar Ciry Centre 2011

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
19.jpg
23.jpg
1.JPG
10.JPG
 
aiseeee huu ndio msimu wa wanaojua kuhonga kufaidi uumbaji na yaliyomo kwenye huo uumbaji
 
DADA, naweza kumpata mmoja hapo...................................
nataka funga nae ndo jaman!!!!




naomba uni- PM, Please.....................:A S 465::A S 465::A S 465:
 
ivi hii ni kumsaidia mwanamke au kumdharilisha? Hapa sioni mantiki ya kuwa eti mtu hakusaidii mpaka ukae uchi. kweli tunakoelekea bila kutungwa sheria za kuondoa mambo yote ya kipumbavu pumbavu kama haya sijui itakuwaje.
 
aaaaahaaaaaaaaaaa wakawaida sana tu hata bdemu wangu hamfikiii kwa uumgajiiiiiiiiiii
 
kuna wengine nimebaki nacheka tu............miguu ileachana utadhani mkasi
 
kuna wengine nimebaki nacheka tu............miguu ileachana utadhani mkasi

mimi hivi vimbaumbau hata sigeuka-gi kuangalia, nataka bantu figure bana ndo yenyewe. huku endeleeni huko wenzangu, nawaachia.. tuleteeni miss bantu hapo mtatushika...teh!
 
Back
Top Bottom