Vimini vya akina dada vinanitoa udenda...!

Ahsante ndugu yangu 4 ur advice. Nimeamua kuacha rasmi punyeto nahc kati ya hayo madhara kuna mengine yamentokea. Pamoja na:
1. Mboo inawasha na inauma,
2. Maumivu makali ya kiuno,
3. Nimekonda ma kupungua uzto,
4. Naumwa na tumbo mara kwa mara,
5. Sometimes najkojole kitandan.
and so many others
We puuuuu vipi?? Lugha haijatulia hiyo, kuna watoto pia wanajivinjari humu. Kuwa na lugha ya staha!
 
ndugu yangu unayewazia vimini ache mara moja na jishughulishe na masomo. Kila wakati unapowaona sali na uombe Mungu akuepushe vishawishi. Kila siku vinakuja vitu vipya ukiendekeza walai shule itakushinda
 
Kweli akili ni mali sasa kupiga nyeto na kukamata mmoja hapo mbona hamna tofauti sababu zote ni uzinzi i.e. kifikra-nyeto na kivitendo-kuchakachua... Acha kujiumiza kamata mmoja hapo life lisonge acha uoga unakuwa kama mtoto mdogo, vitu vingine sio vya kuuliza :A S 13:
 
Punyeto huharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.

Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa hasa akikutana na mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.

Mpiga Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama Miss World kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta bambucha yake husimama kwa kiwango cha chini sana.

Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwana sana na kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho, madhara mengine makubwa khasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku ni kushidwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wa uzazi.
Uongo mtupu.....thibitisha kisayansi how come kupiga puli kunafanya mbegu kuwa dhaifu.....
 
Endelea kupiga PULI, kaza buti na skuli vimini ndo fasheni, vipo to stay. So jitahidi kuvizoea. Ukishindwa usijaribu kuja Ulaya na US maana wakati wa summer ni balaa.

Balaa labda kwa hao dada zetu weusi huko ulaya ndo utachaji ila kwa noah wala hawatamanishi kwa sana.
 
Punyeto huharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.

Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa hasa akikutana na mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.

Mpiga Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama Miss World kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta bambucha yake husimama kwa kiwango cha chini sana.

Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwana sana na kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho, madhara mengine makubwa khasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku ni kushidwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wa uzazi.
Hoya mkuu mbona unatoa hasara tu ya punyeto wakati punyeto ina sifa nyingi sana
  1. Ni njia sahihi ya kujikinga na ukimwi
  2. Unakuwa na muda wa kutosha wa kufanya mambo yako
  3. Unajipatia mrembo unayemtaka
  4. Unapata k size unayotaka na mengine mengi.
Endelea kupiga punyeto mwana watakuua haooo!
 
Ahsante ndugu yangu 4 ur advice. Nimeamua kuacha rasmi punyeto nahc kati ya hayo madhara kuna mengine yamentokea. Pamoja na:
1. Mboo inawasha na inauma,
2. Maumivu makali ya kiuno,
3. Nimekonda ma kupungua uzto,
4. Naumwa na tumbo mara kwa mara,
5. Sometimes najkojole kitandan.
and so many others

pole sana.
Acha kufikiri hako kamchezo(sex).
Kapo tu tena ndio kanazidi kukua kila siku.
Soma kwanza.
 
Kweli akili ni mali sasa kupiga nyeto na kukamata mmoja hapo mbona hamna tofauti sababu zote ni uzinzi i.e. kifikra-nyeto na kivitendo-kuchakachua... Acha kujiumiza kamata mmoja hapo life lisonge acha uoga unakuwa kama mtoto mdogo, vitu vingine sio vya kuuliza :A S 13:
mwenzio ni mme wa mtu, ameoa na ana ndoa yake hivyo usimshauri mabaya aisje kurudi kwao na mwanamke wa kutoka kanda ya ziwa.
sis unajua tena ile mitoto ya rock city, jamaa anaweza kubadili maamuzi.
Ni bora tu aendelee kuwa hard core.
 
inategemea we unataka nini....kama unataka vimini piga kazi...kama unataka kusoma soma.....zaidi hayo hakuna ushauri
 
Uongo mtupu.....thibitisha kisayansi how come kupiga puli kunafanya mbegu kuwa dhaifu.....

Wapiga punyeto utawajua tu.
Mimi hapa sibishani. Kama maelezo yangu ya UONGO toa wewe basi wewe maelezo yako yenye UKWELI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom