Vimimika vya mwili, zana mahiri za mvuto

Nimeshakutana na matukio haya lakin sikuwa nimejua sababu nini?? nimeshapata jawabu. Lakini je namuokoaje kiumbe huyuatoke kwenye janga hili??
 
Nimeshakutana na matukio haya lakin sikuwa nimejua sababu nini?? nimeshapata jawabu. Lakini je namuokoaje kiumbe huyuatoke kwenye janga hili??
Mara nyingi ni mpaka nguvu ya dawa iishe
 
http://www.luckymojo.com/rattle-viper-sperm-incense-salt.jpg
Inawezekana kabisa kuwa hii ikawa mada ya kushangaza mno kwako lakini ni kwakuwa hukuwahi kudhani wala kusikia juu ya hili jambo lakini at least ukiwa na mifano hai watu waliotekwa kimapenzi wakatekeka hata kufikia kusahau familia zao
Dawa za mvuto wa mapenzi hazitengenezwi na vitu vya ajabu bali kwa sehemu kubwa vimimika toka mwilini mwa mtu na baadhi ya vimimika hivi hutumika pia kwenye kuleta laana na mikosi kwenye hayo hayo mahusiano ili mtu aachwe au aachike
Vimimika hivi muhimu ni damu ya hedhi, manii mkono nk (manii tulishaijadili
Vingine ni mate , machozi , kinyesi , nywele za kichwani, nywele za sehemu za siri , kwapani na sehemu zinazoonekana , na kucha (rejea andiko la Aleister and his cohorts) bingwa wa mambo ya ndele na mvuto
Kwenye ushirikina wa kiafrika na America na visiwa vya Cicily, damu ya hedhi hutumika kumwekea mwanaume kwenye chai au kahawa ambayo huleta kichocheo chanya cha mapenzi Ladha na hamu ya upendo kwenye ufahamu

Lakini vile vile kama damu ya hedhi ikikosekana pengine kutokana na kunyonyesha au kwa sababu zingine zozote basi mwanamke hutumia vaginal fluids(ute wa ukeni) baada ya kujichua wakati wa kipindi cha mwezi mkomavu. .huu ute wa ukeni ni mbadala wa damu ya hedhi
Vivyo hivyo kinyesi na mkojo usio wa mimba kwa mchanganuo na mchanganyo wa dawa nyingine na kwa kutumia chakula hutengeza nuksi mikosi na balaa na kumfanya mtu awe na chuki kwa mwenzake View attachment 321875
Nisiwachoshe na post ndefu lakini jitahidini kulinda vimimika vyenu..ukiona mtu kashikwa tena vibaya hasa usikimbilie kumlaumu ujue kapatikana. .baadhi ya maeneo ya Tanga hata kutema mate ni ishu utafikiri ni kwasababu za kiafya kumbe watu wana yao
Jihadhari na nyumba ndogo yako usikubali kula kitu alichokuandilia pekeyako kuleni wote na kama ni chai kunyweni wote...
 
Watu wengi huwa hawajui lakini all you need is love. Huhitaji external interference ni upendo

1Wakorintho13:4-7 "Upendo huvumilia, hufadhili, upendo hausudu; upendo hautabakari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti ambo yake; hauoni uchungu hauhesabu mabaya haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na kweli huvumilia yote; huamini yote hutumaini yote hustahimili yote; upendo haupungui neno wakati wo wote bali ukiwapo unabii utabatilika zikuwapo lugha zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika kwa maana tuna fahamu kwa sehemu na tunafanya unabii kwa sehemu."
 
Yaan unamlisha mwenzako uchafu wako?

rubii,
Kama unamruhusu kuzama uvinza, iweje kumwekea "katone" tu, tena sometimes ni wewe uchovye njiti ya kiberibi kuleee, halafu ndo ukorogee kwenye birika nzima ya chai iwe nongwa? Kumbuka, mshana jr hajakuambia umwekee kikombe kizima. Soma taratiib tu utaelewa.
Lakini rubii, wanasemaga kuwa ukiona wale wanaoruka kimanga, mara nyingi ndio hao hao mafundi stadi wa hiyo kitu. Je, umo??
 
Nimekuona
 
Umeleta mada nzito sana na ni hakika......kuongezea kidogo tu ni kuwa pamoja na kwamba tunatumia mabaki ya viumbe na miti, ila hapo kwenye vimiminika ndio penyewe.
Na hii sio tu kwenye mapenzi bali kwenye mambo mengi kama vile kutia kichaa, kuuwa, kufanya zezeta nk.
1455160728705.jpg
1455160746099.jpg
1455160754184.jpg
1455160764244.jpg
 
Umeleta mada nzito sana na ni hakika......kuongezea kidogo tu ni kuwa pamoja na kwamba tunatumia mabaki ya viumbe na miti, ila hapo kwenye vimiminika ndio penyewe.
Na hii sio tu kwenye mapenzi bali kwenye mambo mengi kama vile kutia kichaa, kuuwa, kufanya zezeta nk.
Teh teh teh Mkuu umekumbushwa kilingeni
 
Back
Top Bottom