Vimbwanga vya miaka 35 ya Uhuru ya CCM.

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Katika hali ambayo watu hawakutarajia, Ijumaa watumishi wa hospital Peramiho walitangaziwa kuwa tar 5 waziri wa wanawake jinsia na watoto angetembelea hospital na angependa kuona ward za watoto na maternity.
Bahati mbaya au nzuri waziri alizidiwa na sherehe mjini Songea akashindwa kufika lakini alituma wawakilishi kwa niaba yake.
Katika hali isiyotarajiwa waziri huyu alitoa za juice, biscuits na sabuni. Kila mgonjwa alipewa item tatu, sabuni ilikuwa ni nusu mche.
Mategemeo ya wengi angetoa machine za oxygen ambazo ndo tatizo kuu hapa, unfortunately waziri akatoa zawadi hizi.
Pamoja kuwa zawadi ni zawadi lakini kama waziri anatakiwa kutatua matatizo ya kudumu kuliko kutoa zawadi ambazo zinaisha baada ya sekunde na hawatamkumbuka.
Wanafanya mambo mengi sana yasiyoya msingi na wanatumia fedha nyingi sana za walipa kodi, afu ikifika wakati wa kusaidia walala hoi wanasaidia kwa kuwapa juice. CCM you have lost credibility to lead this country,
poleni sana Watanzania
Source: nilienda kutibiwa pale na kupata taarifa hii.
 
Yani hapo katumia wastani wa elfu 80, basi!...wakati yeye kakamata perdiem za kutosha!...hakyanani wagonjwa nani kawatuma muugue!
 
Katika hali ambayo watu hawakutarajia, Ijumaa watumishi wa hospital Peramiho walitangaziwa kuwa tar 5 waziri wa wanawake jinsia na watoto angetembelea hospital na angependa kuona ward za watoto na maternity.
Bahati mbaya au nzuri waziri alizidiwa na sherehe mjini Songea akashindwa kufika lakini alituma wawakilishi kwa niaba yake.
Katika hali isiyotarajiwa waziri huyu alitoa za juice, biscuits na sabuni. Kila mgonjwa alipewa item tatu, sabuni ilikuwa ni nusu mche.
Mategemeo ya wengi angetoa machine za oxygen ambazo ndo tatizo kuu hapa, unfortunately waziri akatoa zawadi hizi.
Pamoja kuwa zawadi ni zawadi lakini kama waziri anatakiwa kutatua matatizo ya kudumu kuliko kutoa zawadi ambazo zinaisha baada ya sekunde na hawatamkumbuka.
Wanafanya mambo mengi sana yasiyoya msingi na wanatumia fedha nyingi sana za walipa kodi, afu ikifika wakati wa kusaidia walala hoi wanasaidia kwa kuwapa juice. CCM you have lost credibility to lead this country,
poleni sana Watanzania

Laana kubwa hii na watu kujisahau .Eti aliwapa nini ? Lakini watu wa huko nao acha wavune hicho maana kila siku wao na CCM tuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kama ni ya kutunga mtafute mganga mkuu umuulize afu utaambiwa, ukweli daiama utabaki pale pale tu. Kiukweli Sofia Simba amedhdalilisha chama, huu ndo ukweli
 
hakuna tofauti kati yake na bosi wake anatembea dunia nzima na kombe la matonya kuombakuomba wakati akijua wazi misaada
hiyo haiwezi kutatua matatizo ya Tanzania kwani matatizo ya Tanzania yatatatuliwa na watanzania wenyewe na siyo watu kutoka nje.
 
Imenikumbusha tangazo ninalosikia redioni siku hizi- MAJI/CHUMVI - CHUMVI/MAJI! Wananchi wanataka maji wanaletewa zahanati, wanataka barabara wanaletewa mbolea!
 
Back
Top Bottom