Vimbano, vimini bungeni vyamkera naibu spika

superfisadi

JF-Expert Member
May 22, 2009
553
52
amewatolea uvivu wabunge Wanawake huku akiwaasifu wanaume kwa kufuata kanuni ya mavazi na kuwasisitizia wa kike wataendelea kurudishwa mlangoni
 
hana jipya, watua wanakuf a njaa hospitali hakuna madawa barabara zinajengwa feki kama ya kilwa road yeye anabakia kupigia vimini makelele? wtf
 
Wabunge wote wanawake waanze kuvaa namna hii katika vikao vyote vya Bunge.
niqab-2.jpg
 
Yaani mavazi haya hayaruhusiwi bungeni!!! Basi labda waanze kuvaa Burka na niqab. Na vikuku si ajabu vitapigwa marufuku bungeni!

mwishoni watasema lazima mtu avae chupi ya aina fulani ndio ataruhusiwa, huyu mama ana wivu tu, si ana hela ? aende akafanye plastic surgery huko
 
anasema zisizohitajika ni zile zinazoonyesha body structure nadhani zinaamsha mihemko
 
Hivi hawa wabunge au wasagaji? Uvaaji huu hasa kuvaa vimikufuu hadi miguuni ni uhuni na uvaaji wa machangudoa. Ndo tatizo la viti vya upendeleo kwa wanawake kila mtu anaaingia bungeni wanaaishi kuchukua posho tu hakuna chochote wanacho changia .
Pumbavu zao wanakula ela zetu tu
 
Back
Top Bottom