vilaza

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
vilaza: wakizinduka hapo ni ama
wagonge meza au waunge mkono
hoja wasiyoijua sio lazima kuhudhuria vikao kama
hauwezi kuwakilisha waliokutuma.
inawezekana sheria ya kinyonyaji ya
kuhusu mafao ya wafanyakazi ilipita
kwa style hii...!!
549517_4494895616790_592308191_a.jpg
 
Kweli kabisa na siku wataota bungeni na kuanza kukimbia hadi kwa spika.
 
Huu uzi unabaka na kunajisi hili eneo uhamishie kule kunakostahili yaani siasani.
 
Back
Top Bottom