Vijisenti vya chenge vitarudishwa nchi lini?

Hivi havirudi. Ni vyake. Sheria mbovu ya rushwa tulionayo sasa haimfanyi kitu Mtemi Chenge. Zamani enzi za Mwalimu angesimamishwa mahakamani akatueleza alivipataje vijisenti vile. Sasa hivi TAKUKURU wanatakiwa wapeleleze wao wapate ushahidi wa kumshtaki.
 
Back
Top Bottom