Vijipele Sehemu za siri

awp

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,711
599
Habari,
Msaada tafadhali kutokwa na vipele vyeupe vilivyokaa pamoja sehemu za siri ni ugonjwa gani?
 
hujaeleza mambo muhimu kama
1. we ni mwanamke au mme
2. umri,
3. nature ya vipele kama, rangi, size, vinawasha au unaumia au havina tatizo....
4. viko sehemu gani ya sehemu ya siri


ni PM nikutumie namba ya simu nikusaidie inaweza kuw magonwa ya zinaa kama warts
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom