vijimambo vya BWABWA au BOFLO

Hapana mkuu siruhusu hata kidogo, swali ikitokea Mungu akakupa mtoto kama huyu utafanya ulicho kisema hapo juu? na endapo utatekeleza hayo maneno yako utaishia wapi?
ni ngumu kwakweli sio siri sitaki kufikiria ntafanyaje mkuu mungu anisamehe tu,napata picha mbaya sana nikiwaona hawa viumbe.
 
Umejua je kama katokea huko kama na wewe siyo ume************
ha ha,no mkuu nakumbuka kipindi anaingia ingia wahuni walishampa kichapo sana hapo mitaa ya migomigo,nilikua namuona anazagaazagaa nikipita mitaa hiyo nikitafuta thupu baada ya masanga.
 
ha ha,no mkuu nakumbuka kipindi anaingia ingia wahuni walishampa kichapo sana hapo mitaa ya migomigo,nilikua namuona anazagaazagaa nikipita mitaa hiyo nikitafuta thupu baada ya masanga.
Dah inasikitisha sana hivi inakuwa je? mwanaume mwenye akili zako timamu una mgeuza dume mwenzio ? nahisi tunaelekea kule kule wa akina Sodoma na Gomora!
 
Ooh! Then labda wanafananisha huyu ndugu na hicho chakula cha sultani (kwa maana ya wateule wachache). Ila hapo kwenye ladha tamu na ya kunukia ndo wasiwasi wangu.
Asante kwa kutujuza.
Boflo ni mkate maalum, una asili ya Znz,

Wakati huo ulikuwa ukiliwa na Sultan wa Znz, na yeye ndio muanzilishi

Una ladha tamu, na harufu ya kunukia
 
Sasa kwa nini wewe unajiita boflo?

Najiita Boflo, cause Babu yangu aliwahi kufanya kazi Znz kwa Sultan Jamshid

Na alikuwa yeye ndio mpishi ktk bakery ya Sultan...

Kwani na wewe ndugu zako wengine ni manyani?
 
Najiita Boflo, cause Babu yangu aliwahi kufanya kazi Znz kwa Sultan Jamshid

Na alikuwa yeye ndio mpishi ktk bakery ya Sultan...

Kwani na wewe ndugu zako wengine ni manyani?

Hapana boflo. Ndugu zangu wengine si manyani.
 
Hapana boflo. Ndugu zangu wengine si manyani.

Usiogope Nyani, naona unajibu kiuoga......

Nimekuwekea picha ya mikate ya Boflo, hapo ni marikiti Znz, Siku moja nenda Znz

Ukaionje, Utakuja kuniambia mwenyewe ladha yake jinsi ilivyo.
 
Usiogope Nyanu, naona unajibu kiuoga......

Nimekuwekea picha ya mikate ya Boflo, hapo ni marikiti Znz, Siku moja nenda Znz

Ukaionje, Utakuja kuniambia mwenyewe ladha yake jinsi ilivyo.

Picha mbona siioni wee Boflo? Acha uongo bana...hebu weka picha ya ukweli hapa.
 
Najiita Boflo, cause Babu yangu aliwahi kufanya kazi Znz kwa Sultan Jamshid

Na alikuwa yeye ndio mpishi ktk bakery ya Sultan...

Kwani na wewe ndugu zako wengine ni manyani?

mbona unabana pua.ongea vizuri bana!
 
Back
Top Bottom