Vijana wenzangu, hii inasikitisha

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Wote tunaamini kua vijana ni nguvu kazi kwa taifa ila vijana hawa memberz wa group ya kwenye facebook ya " facebook9tliveshow " Wanatutia madoa vijana wenzao, group hii hawana jipya zaidi ya kuongea ngona na kuweka picha za ngono. wasichana kwa wavulana kufanya ngono ya maneno hadharani bila kificho au kutoa comment mbya kwenye picha za ngono, kiukweli inasikitisha. naaamini hapa hatujengi bali tunabomoa tena kwa mabomu na wala si nyundo. muda wanaoupoteza vijana hawa wangeweza kufanya mengi ya msingi au kuperuzi forum zenye akili kama jf. wanajamvi mnasemaje.
 
Ni upumbavu kabisa afu mbya zaidi wanatumia majina yao ya asili bila aibu wala kificho..kweli ujana maji ya moto.
 
ckia nkwambie labda kama wanafanya kwa hasara lakini kama inawaingizia hela mi nawasapoti''unajua wote hamuwezi kuwa watu wengine devils na lazima watu kama hao wawepo hili dunia iende vzuri wakikosekana hao walah kuna watu watakosa kazi humu duniani so hao wape moyo hili waendelee kufanya hyo biashara yao na ww uendelee kupata cha kusema''akili yako ipate chalenge ujue utawasaidia vpi au utaboreshaje biashara yako'
 
Acha uzushi wewe, hilo group ni CLOSED, na mtu unaingia kwa kuomba, mbona hata hapa J.F kuna jukwaa la Mambo ya Kikubwa? Muombe Invisible ruksa ya kuingia then uone kilichomo!!
 
nakushauri pia uwaingile uwapashe hukohuko, halafu utupe feedback ya response yao.
 
Acha uzushi wewe, hilo group ni CLOSED, na mtu unaingia kwa kuomba, mbona hata hapa J.F kuna jukwaa la Mambo ya Kikubwa? Muombe Invisible ruksa ya kuingia then uone kilichomo!!

Labda alikuwa member wa hilo group..
 
Kuna kijana mmoja aliniambia ye ni member, na akafungua aka log in, nikajionea. afu ni kijana mdogo tuu, nikamuuliza unapata faida gani kuwa huko akasema mademu, najua kuhsu ngono, jinsi ya kufanya..
 
Ndugu yangu Marhaba ukitaka kuvua samaki kwa ndoano unapaswa kuweka chambo kisha tumbukiza ndoano kwenye mto au ziwa unalotaka kuvua hao samaki. Ukitaka kuvua samaki ndoano haielekezwi angani. Hapa JF umekuja kushitaki vijana wenyewe wa kuwaambia wako Facebook, ndoano umeileta JF uvuvi unatakiwa Facebook hapa utavua nini kitoga, kambale, sangara au sato waendee huko huko. Mawazo yako ni mazuri sana lakini ujumbe huu hawataupata kwani hawapo JF kwani JF hatuzungumzii uhuni.:teeth:

Wote tunaamini kua vijana ni nguvu kazi kwa taifa ila vijana hawa memberz wa group ya kwenye facebook ya " facebook9tliveshow " Wanatutia madoa vijana wenzao, group hii hawana jipya zaidi ya kuongea ngona na kuweka picha za ngono. wasichana kwa wavulana kufanya ngono ya maneno hadharani bila kificho au kutoa comment mbya kwenye picha za ngono, kiukweli inasikitisha. naaamini hapa hatujengi bali tunabomoa tena kwa mabomu na wala si nyundo. muda wanaoupoteza vijana hawa wangeweza kufanya mengi ya msingi au kuperuzi forum zenye akili kama jf. wanajamvi mnasemaje.
 
serikali yenyewe hii lazima utegemee mambo kama haya..hii ni kutokana na kutokua na kazi za kufanya! wengine wapo tu maofisini wanasoma magazeti, mwisho wa siku anavuta chake, mwingine hana cha kufanya zaidi ya kufungua fb kwenye simu yake masaa yote
kwakweli tunasafari ndefu sana ndugu yangu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom