Vijana wenye mafanikio zaidi bongo 2011!

wazee wa dunk n die,moja pakistan mwendo afrique de sud mixer brazil wangehusishwa nadhani wakali wa kinondoni na magomeni wangeteka hiyo chart!!!
 
ayo maisha tuulize sisi masadali..kifo nje nje ata unihaidi nini siludii tn iyo life,ni zaidi risk.
 
Upakani kizamani bab,siku hizi kitu cha musharaf sio kiviiiile,sasa hivi mambo yote kitu cha pele,kwa musharaf hakutokeki..
 
Mbona naona wote ni wauza sura tu...weka watu wa kazi sio wale wakusubiri mishahara.

Wapi Manji?
Wapi Mo?
Wapi Abubakary Bakharesa
Wapi Tanil Somaia
Wapi Mukesh J MO
 
Hao wameoa mzee,soma mwanzo pale juu kabla ya picha..
 
Upakani kizamani bab,siku hizi kitu cha musharaf sio kiviiiile,sasa hivi mambo yote kitu cha pele,kwa musharaf hakutokeki..

kweli niliamua kutaja hayo madocho kwani ndo yanayojulikana na makiza wengi!starehe za fukwe za brazil makamanda wengi wanaamua kupiga kambi na kama mzigo wa kutumwa wanaamua kupiga juu kwa ju watu wana risk wanatimba nao mpaka kwa macho ndogo hawaogopi kitanzi au 100 years behind bars!last week kuna mkali toka south kapata ajali inasemekana madaktari wamemmalizia kumuua!!!usitake kujua katika kiuno alikuwa na wanyamwezi wangapi kajifunga kama mkanda!!!doo la maana hao vigoli uliowataja juu nna hakika hizo pesa wanazisoma hawajawahi kukamata!
 
ayo maisha tuulize sisi masadali..kifo nje nje ata unihaidi nini siludii tn iyo life,ni zaidi risk.

usadali easy otherwise ulikuwa unataka kusema ulikuwa unaenda kama transporter!!!usadali unacheza na goli lako na mzungu anakuwa kakupa ulinzi wewe kazi yako kusukuma tu!.......get rich or die trying!maisha mazuri hayaletwi na CCM au CHADEMA hapa watu wanazinguana tu!pigana wakiume ule shushu
 
vi-tank mbona ndo wako safe zaidi!labda itokee wazungu wamegeukana chain inakatwa,ndo msala kwako unageuzwa chambo..maisha ya usadali usipime kumix mzigo tupu risk,ukiwa boya unakuwa mteja mda mchache tu..uku mtaani kuna pesa bwana,ukiweza michezo tu..
 
Naomba namba ya huyo wa kwanza Na Watatu nimewazimikia ghafla nataka niawachangamkie.
 
nataka kujua mchango wa ktk taifa????????

Mijitu mingle bana mchango kitaifakitaifa, mtoa thread kasema Vijana bachela wenye mafanikio, weka thread yako tujadili utakayo.mnapenda kulazimisha mada.
 
mafanikio !

mi nadhani mleta hoja alitakiwa aende mbali zaidi kutueleza ni mafanikio katika maeneo yapi na kama ni kiuchumi atueleze biashara wanazo miliki na mahali zilipo , pesa zilizo benki , nyumba , mashamba , gari/meli kama zipo na vitu kama hivyo na pia asisahau kutujuza kama ni mali za urithi !
 
kweli niliamua kutaja hayo madocho kwani ndo yanayojulikana na makiza wengi!starehe za fukwe za brazil makamanda wengi wanaamua kupiga kambi na kama mzigo wa kutumwa wanaamua kupiga juu kwa ju watu wana risk wanatimba nao mpaka kwa macho ndogo hawaogopi kitanzi au 100 years behind bars!last week kuna mkali toka south kapata ajali inasemekana madaktari wamemmalizia kumuua!!!usitake kujua katika kiuno alikuwa na wanyamwezi wangapi kajifunga kama mkanda!!!doo la maana hao vigoli uliowataja juu nna hakika hizo pesa wanazisoma hawajawahi kukamata!

tatizo hao machizi darasa hawana tofauti na wenzao wapopo,wako in same business wanafanya mambo makubwa kwao,wabongo misifa tu,wanapataga mkwanja wa maana hakuna wanchofanya,unamkumbuka mtoto wa ilala bachala sasa hivi yuko holand anabeba boksi,mchizi alitua bongo na mnyamwezi kilo 5 1990's!ikawa ni nyoka na mademu kwa kwenda mbele..
 
Jamani, mimi je mbona mmelisahau jina langu katika hii list?
My accomplishments so far:
1. Guest houses in Dar (2)
2. Ladies hair saloons (4)
3. Pubs maeneo ya Sinza (2)
4. Ubao sokoni Ilala
5. Ubao soko la mitumba Manzese (2)
6. Egesho za kuosha magari (2)
7. Duka la jumla la vyakula
8. Ni mhadhiri wa Univeristy of Dar es salaam, kitivo cha Water engineering
Indeed, nastahili kuwepo kwenye hii list LOL
 
Vigezo gani vimetumika kuwapa namba? nani kawapigia kura? au unawapa umaarufu zaidi
 
Back
Top Bottom