Vijana wenye mafanikio zaidi bongo 2011!

wabongo tuache wivu pamoja na kuwataka jamaa waoe sasa tuichukulie hii kama changamoto na sisi mwakani tuwemo kwenye list ya dizaini hii,wengi hapo ni kweli wamekuwa namafanikio binafsi kwenye maisha yao..kesho nitacopy na kupaste na ya mademu wenye mafanikio pia nitaiweka hapa...
 
wanawinda hawa.waliotajwa mbona hawana jipya.mfn kuwa meneja wa .................... sehemu ndo umefanikiwa saana.kina dada tamaa zitwaua








upupu
 
kuna tofauti kubwa sana lakini kati ya mafanikio na mchango katika jamii,unaweza kuwa na mafanikio katika maisha yako lakini usiwe na mchango wowote katika jamii,hatulaimiana sana lakini ni mfumo wa ujamaa tulioanza nao ndio unatusumbua vichwani mwetu mpaka leo,maana ujamaa nikipata mafanikio mimi ni lazima nigawane na nyie,watu wote eti tuwe sawa,hata wavivu nao tuwe nao sawa..


Naona nyie hamkumuelewa kabisa mtoa mada wa kwanza lugha ya watu jamani alikuwa na maana ya watu 15 Tanzania ambao hawajaoa lakini wanasifa au wanastahili kuoa kwa kiingereza changu cha darasa la 14 la sayansi. Tanzanian's 15 Most Eligible Bachelors - Eligible maana nyingine ni qualified. Sasa mambo ya mtu kaifanyia nini jamii yanatoka wapi jamani acheni kubishana nje ya mada. Ila mabachela kama hao ni wengi sana Tanzania hao ni wachache anaowajua.
 
Mange ajatulia kabisa sasa amemuweka mvuta bangi miraji kikw.ete eti nae ana mafanikio,my a*s*ole!!!!! Miraji hana mafanikio yeyote hata mie namzidi,ni tapeli kama unabisha nenda blc 41 wanamjua huyu,alishawahi iba mark ii ya baba yake huyu akaenda kuipiga bei na baba yake akamfukuza akaenda kukaa kwa kalapina,mange amtoe huyu mtu
 
Hadi mnyika anawekwa hapo kuna 7bu tele,
1.mbunge
2.ameonesha umahiri bungeni kwa michango yenye tija kwa jimbo lake na taifa,JE MIRAJI?yeye anafanya kaz gani?
nadhani muandaaji wa hii kitu alibase kwenye mafanikio binafsi ya wahusika zaidi sio mchango kwa jamii..ndio unamuona hata mtu kama mnyika hapo,kwani maechangia nini kwa jamii?
 
kuna tofauti kubwa sana lakini kati ya mafanikio na mchango katika jamii,unaweza kuwa na mafanikio katika maisha yako lakini usiwe na mchango wowote katika jamii,hatulaimiana sana lakini ni mfumo wa ujamaa tulioanza nao ndio unatusumbua vichwani mwetu mpaka leo,maana ujamaa nikipata mafanikio mimi ni lazima nigawane na nyie,watu wote eti tuwe sawa,hata wavivu nao tuwe nao sawa..

so wasanii wa ulaya na amerika watoapo misaada ni WAJAMAA?
 
ndioo mwageni list zaidi, mie napendaga sana vitu kama hii. mwanaume pesa bwana, mwenye wivu ajinyongee!! Hongereni wa ukweli hongereni, zis yia, pliz ongezeni bidii zaidi.. Vuna pesa.. kulaga nchi..
 
Wengine hapo unawaita bachelors lakini tunawajua wanaCameruniwa hapa mjini, sasa sijui watoa au wataolewa. Hebu ichunguze vizuri hiyo list yako...
 
Siamini kama watu na akili zao wanapoteza muda kujadili list iliyowekwa na kahaba mange.
 
Back
Top Bottom