BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,818
- 11,001
Vijana waliomaliza f4 mmefeli madai shule hazina walimu ama bora wapo,wewe mbona hutaki ualimu unafikiri watatoka wapi,kila mtu anawaza kwenda bank,sociology,n.k,kijana unatakiwa uangalie soko la ajira na muache mambo ya kuiga,usifate mkumbo,mdogo wangu alikua mbishi sana,kasoma Public admin na ps udsm anafundisha mbezi,angalia chain yenu,huna ndugu anafanya sehemu fulani jua uasugua jinsi kwa kusomea mambo ambayo ajira zake zinapatikana marekani na nauli kweni khaipo,iga ufe,asanteni