Vijana watumika kama condom,

Kirode

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
3,566
82
Kuna mbuge anaongea bungeni anadai huko dar vijana wanadai wanasiasa wanawatumia kama condom kisiasa, swali ni kweli? Nawakilisha
 
Kuna mbuge anaongea bungeni anadai huko dar vijana wanadai wanasiasa wanawatumia kama condom kisiasa, swali ni kweli? Nawakilisha

Mbunge mwenyewe ni nani? ni muhimu kumfahamu ili kujiridhisha kama ni mtu mkweli ama ni wale wapika majungu na fitna!!
 
Mkuu fafanua zaidi, vijana wanatumika kama kondom kivipi? Sijaelewa.
 
Back
Top Bottom