Vijana Watanzania Wenye Mafanikio Makubwa Ughaibuni (Ulaya & Marekani)

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Tunaomba listi au majina ya vijana angalau 20 tu, na taaluma zao ambao wanaweza kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu kutokana na uwezo walionao. Hii listi tutaipeleka kwa waziri mkuu pamoja na Rais mwenyewe, ili waone jinsi serikali yetu legelege inavyo poteza rasilimali watu, huku ikifaidisha raia wa nchi nyingine. Ukizingatia rais amekuwa akiwaimiza vijana warudi bila kuangalia sababu za msingi ambazo zinawazuia vijana kurudi. Mtu hawezi kuacha $6,000 kwa mwezi arudi hapa kupigania Tsh. 1.2 Tenesco, wakati expatriate analipwa $15,000 kwa mwezi na marupurupu kibao....tunaomba top-20 names ya kuanzia

1. William Malecela, Seaman & Engineer (tumeonana weekend, ilopita Amesharudi kujenga taifa)
2................
3.................
4...............
5................
6................
7...............
8.................
9..............
20............
 
Serikali yetu imekuwa mstari wa mbele kuleta ma expatriates na kuwalipa mabillioni ya fedha kila mwaka ilhali nchi yetu ina watu mahiri nje ya nchi ambao wangeweza kuzifanya kazi nyingi wanazozifanya hao expatriates uchwara. Tatizo lililopo ni kwamba, watanzania wanafanyiwa majungu na bureaucracy ikiambatana na malipo madomo kiasi cha kuwakatiza tamaa watalamu.

Tunaomba listi au majina ya vijana angalau 20 tu, na taaluma zao ambao wanaweza kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu kutokana na uwezo walionao. Hii listi tutaipeleka kwa waziri mkuu ili aone jinsi serikali yetu legelege inavyo poteza rasilimali watu, huku ikifaidisha raia wa nchi nyingine

1. .............
2................
3.................
4...............
5................
6................
7...............
8.................
9..............
20............

Mambo gani haya sasa?
 
Unadhani ukimpelekea kuna kitakachobadilika?

Mimi nadhani wao wanaona raha watz wenye uwezo wakipotelea ugaibuni, maana wakirudi watakuwa ni threat kwa nyadhifa zao.
 
Una ushahidi au unauhakika gani Watanzania wanaoishi ng'ambo wanataka kurudi Tanzania?
 
sasa wewe unamtaja mtu bila kutuambia mafanikio yake tutakuelewaje? Tutajie hayo mafanikio ya huyo uliyemtaja.
 
Unataka kuwachawia kwenye list ya ccm wafuatiliwe kila wakitua nchini?

Achana na haya, peleka barua kwanza. Tanzania ipitishe watu kuwa na dual citizenship ona nchi zingine around us wanavyoendelea na kujivunia wananchi wao.
 
kazi ipo wabongo bana.......sijui kwanini wala vumbi wakishakula vumbi lao machakani tz lazima waje na vi thread vyao vya kutaka kulinganisha mambo na walio majuu....majuu ni majuu arifu..kufika majuu tu ni mafanikio.......

umeme umerudi?
 
Du Yo Yo taratibu bana!.
 
Tunaomba listi au majina ya vijana angalau 20 tu, na taaluma zao ambao wanaweza kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu kutokana na uwezo walionao. Hii listi tutaipeleka kwa waziri mkuu pamoja na Rais mwenyewe, ili waone jinsi serikali yetu legelege inavyo poteza rasilimali watu, huku ikifaidisha raia wa nchi nyingine. Ukizingatia rais amekuwa akiwaimiza vijana warudi bila kuangalia sababu za msingi ambazo zinawazuia vijana kurudi. Mtu hawezi kuacha $6,000 kwa mwezi arudi hapa kupigania Tsh. 1.2 Tenesco, wakati expatriate analipwa $15,000 kwa mwezi na marupurupu kibao....tunaomba top-20 names ya kuanzia

1. William Malecela, Seaman & Engineer (tumeonana weekend, ilopita Amesharudi kujenga taifa)
2................
3.................
4...............
5................
6................
7...............
8.................
9..............
20............

Tafadhali fafanua hiyo namba moja. SEAMAN kwa maana ya BAHARIA? Na ENGINEER wa huko baharini kwenye meli?
 
Tunaomba listi au majina ya vijana angalau 20 tu, na taaluma zao ambao wanaweza kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu kutokana na uwezo walionao. Hii listi tutaipeleka kwa waziri mkuu pamoja na Rais mwenyewe, ili waone jinsi serikali yetu legelege inavyo poteza rasilimali watu, huku ikifaidisha raia wa nchi nyingine. Ukizingatia rais amekuwa akiwaimiza vijana warudi bila kuangalia sababu za msingi ambazo zinawazuia vijana kurudi. Mtu hawezi kuacha $6,000 kwa mwezi arudi hapa kupigania Tsh. 1.2 Tenesco, wakati expatriate analipwa $15,000 kwa mwezi na marupurupu kibao....tunaomba top-20 names ya kuanzia

1. William Malecela, Seaman & Engineer (tumeonana weekend, ilopita Amesharudi kujenga taifa)
2................
3.................
4...............
5................
6................
7...............
8.................
9..............
20............

Yaani mbwembwe zoote kumbe lengo ni kumpa shavu Le mutuz.
Ha! ha! ha! ha! ha!
 
Unataka kuaminisha umma kuwa sisi tuliobaki hapa tz hatuna uwezo wa kuijenga nchi!
 
Back
Top Bottom