Vijana wanaojiita wapuuzi waanzisha mchakato wa kujiajiri

Kwa aina ya biashara wanayosema wanaifanya ni show business so kujiita jina kama hilo sio inshu sana wao wamesema wanataka kufanya film ambayo ni show business angalia hata duniani kote watu wanaofanya show business wanajiitra majina ya ajabu mfano
BAD BOY ENT
COCCAINE MUSIC
na still wanafanikiwa so hilo ni la kuliangalia sana

DTP-Disturbing The Peace
(Wavurugaji Amani linaongozwa na Ludacris)
 
Kwa aina ya biashara wanayosema wanaifanya ni show business so kujiita jina kama hilo sio inshu sana wao wamesema wanataka kufanya film ambayo ni show business angalia hata duniani kote watu wanaofanya show business wanajiitra majina ya ajabu mfano
BAD BOY ENT
COCCAINE MUSIC
na still wanafanikiwa so hilo ni la kuliangalia sana

Oh!...nlisahau kuwa wanaiga upuuzi wa Magharibi. Sijashawishika kuwachangia, bora nikamchangie yule jamaa wa mapapai; Good Luck!
 
Nadhani unapowashauri kama hutaki wafanye wanachokifanya ambacho nina imani kuwa walishafanya uchunguzi nilitegemea uwaelekeze cha kufanya badala ya kusema tu juu juu kuwa wafanye uzalishaji... Hayo maneno hayana tofauti na yanayotolewa na serikali inayowapuuza vijana!... Nenda mbele zaidi useme wauze vitumbua au maandazi na nini faida yake kwao.

Uvivu wa kufikiri. Unataka serikali mpaka ikuambie kitu cha kuzalisha? Hayo ndiyo matatizo yetu watanzania, tunapenda spoonfeeding!
 
Unaonyesha ni jinsi gani usivyo na HEKIMA!.

"HEKIMA" yako ipo upande upi?
Sijashawishika kuwaunga mkono hao "wapumbavu" kwa sababu baona mpango wao una asilimia kubwa ya kufa kibudu, ama hizo pesa kuishia kwenye chipsi kuku; Kuna "muvi" nyingi za kitanzania zinatoka kila wiki, lakini ni zinazofanikiwa kuuzika hazifiki hata asilimia mbili, watanzania wanataka kuona nani ameigiza, ray, kanumba, wolper na the like; sasa wao wanakuja na kipumbavu wajue kuna uwezekano mkubwa wa kupoteza, WAJIPANGE. Kwenye hii forum kuna nyuzii nyingi sana zinaongelea biashara za uzalishaji kwa mapana, lakini wewe na HEKIMA zako unaonesha huwa unaingia humu kwa bahati mbaya hasa unapoona heading za "kipumbavu" kama hii!....tumia muda kidogo kufanya research kwenye hizi kurasa utapata mambo mengi sana! TUMIA HEKIMA YAKO!
 
haya yote ni 'madhira' yatokanayo na utendaji wa 'sirkali' yetu. Ni nani angejipa jina hili leo kama si mwenendo mbovu wa wenyenchi hii?
 
"HEKIMA" yako ipo upande upi?
Sijashawishika kuwaunga mkono hao "wapumbavu" kwa sababu baona mpango wao una asilimia kubwa ya kufa kibudu, ama hizo pesa kuishia kwenye chipsi kuku; Kuna "muvi" nyingi za kitanzania zinatoka kila wiki, lakini ni zinazofanikiwa kuuzika hazifiki hata asilimia mbili, watanzania wanataka kuona nani ameigiza, ray, kanumba, wolper na the like; sasa wao wanakuja na kipumbavu wajue kuna uwezekano mkubwa wa kupoteza, WAJIPANGE. Kwenye hii forum kuna nyuzii nyingi sana zinaongelea biashara za uzalishaji kwa mapana, lakini wewe na HEKIMA zako unaonesha huwa unaingia humu kwa bahati mbaya hasa unapoona heading za "kipumbavu" kama hii!....tumia muda kidogo kufanya research kwenye hizi kurasa utapata mambo mengi sana! TUMIA HEKIMA YAKO!

Sintokushangaa asilani kwa uliyoyaandika kwa sababu sitegemei neno la maana toka kwako kwa sbabau huna HEKIMA wala huwezi kumshauri mtu!....Kwa kukusaidia tu nakukumbusha kuwa wanaitwa WAPUUZI movement na si WAPUMBAVU kama ulivyowaita....MUNGU ASIKUHESABIE MAKOSA YAKO.
 
frm00001.jpg
Asante kwa kunikumbusha kuwa wanaitwa WAPUUZI....! Kiwango chako cha kufikiri kimeishia kwenye BongoMovie, na huko ndiko HEKIMA yako iliko! Tanzania haiwezi kuendelea kwa UCHUUZI!
 
Back
Top Bottom