Vijana wanaojiita wapuuzi waanzisha mchakato wa kujiajiri

Ni Mimi Msiogope

JF-Expert Member
May 28, 2012
352
200
WAPUUZI MOvement ni jina la kushangaza lakini pia linastaajabisha mtu kujiita hivyo!...
Juzi Alhamisi asubuhi nikiwa nasikiliza Radio Passion FM ofisini kwangu nilishangaa kusikia vijana wanne wakiwa kwenye studio hiyo wajifafanua maana ya WAPUUZI MOVEMENT...Nilicheka japokuwa baadaye na mimi nilijiona ni MPUUZI!..
Lengo lao kubwa ni kukusanyana kwa ada ya shilingi 10,000 kila mmoja kwa vijana 1000 ambapo wanalenga kukusanya jumla ya 10,000,000/= na kutengeneza filamu (Kwa kuanzia)... Baada ya kuuza hiyo filamu wanatarajia kupata 100,000,000/= ambapo watafanya miradi mingine yenye ajira kwao...
Wameamua kujiita wapuuzi kwa kuwa wamepuuzwa na Serikali na kutokupatiwa fursa za ajira au Mikopo yenye Tija... Walikaribisha wanachama kwa kuwa hadi sasa wamefikia wanachama 700 kwa hiyo bado wanachama 300. Huo ni mwanya na fursa kwa vijana wengine kuungana nao au kubuni kitu kitakachozalisha ajira. Mwenyekiti wao niliyekumbuka jina lake ni Deus Amani na vijana wengine Katibu wao na viongozi wengine.

Nimeona niwajulishe hapa jamvini ili tuone namna gani tunaweza kuungana nao au kuwashauri,
 
Hao kweli nin wapuuzi, hawajui madhara ya kujiita WAPUUZI na kuwa hiyo ndy official name yao, baadae wakigundua impact a hilo jina katika shughuli zao za kujitafutia maendeleo ndy watagundua Upuuzi walioufanya watajiona WAPUMBAVU!!!! Lengo lao ni zuri, lakini pia strategy yao inaweza isiwe nzuri sana, hasa wazo lao la kutumia mtaji wao wa kwanza kuigiza filamu ambayo iko likely zaidi kuwaletea loss....wanajipeleka kuwa exploited na kupoteza hata kidog walichonacho hvo baadae watakuwa WAPUUZI haswaa! wanatakiwa waangalie njia nzuri ya kuwekeza hizo 10M, hasa kwenye uzalishaji, wakijirasimisha itawawia rahisi zaidi, lakini wakienda kibongofleva ni kazi bure na upotevu wa muda na pesa pia!:bange:
 
Jina zuri, linafaa, waendelee nalo.
Nawashauri waje JF kuomba michango. Kama wana uwezo wa kuzalisha mil. 100 toka kwenye mil. 10 basi wana akili sana na wanastahili tuwachangie.
 
Mleta thread ni bora ukawaambia hao Vijana wajaribu kubadili jina la kikundi chao, JINA LA BIASHARA AU KIKUNDI LINA UMUHIMU WA KIPEKEE KATIKA BIASHARA

Watu wengi huwa tunachulia jina la biashara kirahisi ;lakini ni moja ya kazi ngumu sana, na ukikosea hapo inakuwa ni hasara kwako,

Moja ya sifa za Jina zuri la Biashara ni kwamba linabeba kile ambacho unafanya, sasa hao wapuzi, unaweza kuta wanafanya ishu za KIPUZI tu, na ndo maana yake,
 
Kwa aina ya biashara wanayosema wanaifanya ni show business so kujiita jina kama hilo sio inshu sana wao wamesema wanataka kufanya film ambayo ni show business angalia hata duniani kote watu wanaofanya show business wanajiitra majina ya ajabu mfano
BAD BOY ENT
COCCAINE MUSIC
na still wanafanikiwa so hilo ni la kuliangalia sana
 
Sis vijana wa zamani tunawakumbuka akina UB 40 wa kule UK, sasa sijui hawa kwa jina hili itakuwaje.
 
Hao kweli nin wapuuzi, hawajui madhara ya kujiita WAPUUZI na kuwa hiyo ndy official name yao, baadae wakigundua impact a hilo jina katika shughuli zao za kujitafutia maendeleo ndy watagundua Upuuzi walioufanya watajiona WAPUMBAVU!!!! Lengo lao ni zuri, lakini pia strategy yao inaweza isiwe nzuri sana, hasa wazo lao la kutumia mtaji wao wa kwanza kuigiza filamu ambayo iko likely zaidi kuwaletea loss....wanajipeleka kuwa exploited na kupoteza hata kidog walichonacho hvo baadae watakuwa WAPUUZI haswaa! wanatakiwa waangalie njia nzuri ya kuwekeza hizo 10M, hasa kwenye uzalishaji, wakijirasimisha itawawia rahisi zaidi, lakini wakienda kibongofleva ni kazi bure na upotevu wa muda na pesa pia!:bange:

Nadhani unapowashauri kama hutaki wafanye wanachokifanya ambacho nina imani kuwa walishafanya uchunguzi nilitegemea uwaelekeze cha kufanya badala ya kusema tu juu juu kuwa wafanye uzalishaji... Hayo maneno hayana tofauti na yanayotolewa na serikali inayowapuuza vijana!... Nenda mbele zaidi useme wauze vitumbua au maandazi na nini faida yake kwao.
 
Kwa aina ya biashara wanayosema wanaifanya ni show business so kujiita jina kama hilo sio inshu sana wao wamesema wanataka kufanya film ambayo ni show business angalia hata duniani kote watu wanaofanya show business wanajiitra majina ya ajabu mfano
BAD BOY ENT
COCCAINE MUSIC
na still wanafanikiwa so hilo ni la kuliangalia sana

Hata watakaowapuuza nao ni Wapuuzi... Jina hilo linasadifu ukweli wa watanzania wengi ambao hupenda kupuuza kila kitu.. hata wao wangejiita ALMASI au DHAHABU bado wangepuuzwa kwa kubezwa,NK... Hata hivyo hilo jina ndilio lililowavutia kuchangia na si biashara yao.. Siku moja utatamani kuona hiyo filamu iliyotengenezwa na WAPUUZI ikoje...Tayari umewaungisha KIPUUZI PUUZI
 
Back
Top Bottom