Vijana walioibuliwa na vodacom katika kusaka vipaji vya mpira wa miguu ni kanyaboya?

RubenM

Senior Member
Apr 15, 2009
131
10
:( Hii inashangaza,kama itakuwa kweli basi ni ajabu,jamani nipatieni majibu hivi wale washindi wa vodacom soccer academy ambao tuliwapigia kura ktk mwaka wa 2008,yule Mzanzibar & wawili wa mbeya(mmoja akitoka mby mjini & mwingine wilaya ya mbozi-mbeya) wako wapi? na lile shindano lilikuwa amka-lala au linaendelea? NIPENI MAJIBU...
 
Sasa wewe ndiye uko mbeya kwa hiyo una nafasi nzuri zaidi ya kutujuza... Tusaidie basi kama una taarifa yoyote mazee
 
Yule kijana wa Mbeya, ambaye alikuwa mshindi wa kwanza, sasa hivi yuko kwenye klabu moja huko Ubelgiji, amesajiliwa katika timu ya vijana (jina limenitoka) ya daraja la juu nchini humo. Wale wengine hata sijui wameishiwa wapi, labda ndo wameshakuwa kuku wa kienyeji
 
Back
Top Bottom