Vijana wakamatwa Mwanza kisa siasa

MCHARA

Senior Member
Jan 15, 2011
109
22
Polisi wanazunguka na difenda mjini hapa na wakikuta vijana wawili au zaidi wanaongelea siasa wanawakamata na kuwapakia kwenye difenda! Je amani ipo tena tz?
 
Haiingii akilini hata kidogo hao watakua ni waharifu tu. Kwanza we uliye post hii thread haujawa wazi.
 
Sio rahisi kiasi hicho, labda hao vijana wamefanya kosa lingine kama ni kuongea mambo ya siasa tu mtu anakamtwa watakosa sehemu ya kuwaweka maana watakamata wengi sana.
 
Sio rahisi kiasi hicho, labda hao vijana wamefanya kosa lingine kama ni kuongea mambo ya siasa tu mtu anakamtwa watakosa sehemu ya kuwaweka maana watakamata wengi sana.
Inawezekana mkuu, maana kipindi kile cha Mwembe Chai mkiongozana zaidi ya watatu utakuta ri afande rinawauriza, mbona mko zaidi ya watatu mnaongozana hamuandamani nyie?
 
Back
Top Bottom