vijana wa udsm mliopangwa hostels za main campus

nafarijika nikiona hii post.

Nenda kasome mdogo wangu usidanganyike, mabibo ni pazuri sana ili mradi unafahamu nini kimekupeleka. Hata ukikaa main campas kama hujui kilichokupeleka haisaidii. Wenzio tumeishi hapo kwa muda wote wa masomo na tumerudi tena kuendelea na tunaishi hapo hapo.
 
MAISHA NI POPOTE WAPENDWA nimekaa mlimani miaka MINNE na nimesoma engineering course mwaka wa kwanza nimeishi MAIN CAMPUS HALL 2 mwaka wa pili aka mwaka dume aka chujio mlimani hasa uhandisini coet nilikuwepo mabibo hostel block D(NANILISURVIVE NA BADO KUNA WATU WALIKUWA KAMPUS WAKACHUJWA NINA MIFANO) . mwaka wa tatu ni kanirudi main campus na mwaka wa nne ni kamaliza MABIBO HOSTEL. NINACHOTAKA KUSEMA NINI . NI HIVI JARIBU KUKUBALI HII HALI PUNDE UPATAPO CHUMBA KWA MAANA KUNA WATU WENGI HAPO HUWA WANAKOSA VYUMBA WANAHAHA WANATAFUTA POPOTE PALE NA WANAMALIZA NA GPA NZURI .
KUNA MITAZAMO HASI MINGI KUHUSU MABIBO HOSTEL AMBAYO WATU WENGI TUNAJAZANA UJINGA PINDI TUFIKAPO HAPO MLIMANI NA INABAKI KWENYE VICHWA VYETU, MIND YOU WEWE NI INTELLECTUAL UMEINGIA KWENYE SOCIETY YA WASOMI ASSUMPTION YA KWANZA WEWE UNAWEZA KUCORP NA MAZINGIRA YEYOTE YA KIMAISHA WAKATI WOWOTE KUTOKANA NA UPEPO WAKO KAMA MSOMI .SASA ISSUE KAMA KUNA VISHAWISHI VINGI, HABARI YA KUGOMBANIA GARI, KUISHIWA BOOM NA KUANZA KUPIGA SHUTTLE PORI KUELEKEA CAMPUS SIO MATATIZO YANAYOWEZAKUFANYA WEWE KUTOISHI MABIBO . KIMTAZAMO MABIBO HOSTEL PAKO VIZURI KIMAZINGIRA (VYOO ,MABAFU ) TENA KAMA UNAKOZI CHACHE UNAWEZA KUPATA MUDA MWINGI KUJISOMEA HUKO UKAENDA ZAKO CAMPUS MCHANA, PIA KAMA MPIGA EXILE MZURI UNAPATA MUDA MAANA WATU WENGI WANAKUWA KAMPUSI(AHAAHAA JUST KIDIN GUYS).UPATIKANAJI WA CHAKULA KIPINDI NASOMA MABIBO HATA UKIRUDI SAA TATU UNAWEZA KUPATA MSOSI TENA WA KWA GHARAMA NAFUU KUTEGEMEA NA MFUKO WAKO TOFAUTI NA KAMPUSI BEI ZIKO FIXED SANA KWENYE CAFETERIA CHAKULA KINAISHA MAPEMA. MAISHA YA CAMPUS UKIACHLIA MBALI KUPATA MUDA WA KWENDA LIBRARY NA KWENYE LECTURE THEATRE KUJISOMEA USIKU NA UNAFUU WA USAFIKIRI(KUEPUKA VURUGU ZA SHUTTKE) HAKUNA JIPYA KWA KWELI MAZINGIRA YAKE NI MACHAFU LABDA KAMA WAMEBADILISHA NOW VYUMBA NI VIDOGO TENA MKIBEBANA DUUH..
SO NDUGU ZANGU PINDI UPATAPO CHUMBA MABIBO AU CAMPUS KUBALI YAISHE TULIZA AKILI UPAFEROM MAISHA YASONGE KWISHA KAZI .
SUALA LA KUWA UMEKOSA MKOPO NAJUA NI ISSUE NZITO USIKONDE I BELIEVE IN SOLDARITY FOREVER HAPO REV SQUARE MPAKA KITAELEKA .WATAPATA MIKOPO TU NA WATAISHI VYEMA .SOMENI NDUGU ZANGU TUOKE TAIFA LETU AMBAO BADO LINA ILLITERACY WENGI
ANGALIZO: UNAPOISHI MABIBO HASA KIPINDI CHA TEST AU UE JITAHIDI SANA KUWAHI MAANA KERO KUBWA NI HIYO FOLENI YA MANDELA ROAD KUTOKA HAPO MPAKA RIVERSIDE UNAWEZA KUCHUKUA HATA 45MINUTES.
 
We dogo unataka kwenda kuishi msituni,baki bibo dogo maana nilishakaa cumpas first year nilitundika sup mbili baada ya kuamia bibo gpa iliongezeka kwa 1.3 muda wa mchana if no lecture ni full milalo wakati watu wa bibo wako library na sehemu nyingine wanakamua.
 
mwenyewe 1st yr nlikaa bibo,ckupigwa supp,2nd yr semistr ya kwanza nkakaa main cumpus nkapgwa supp 1,semistr ya pili nkahamia kitaa na ckupgwa supp tena,kuna mchzi wangu wa coet ye kahamia main cumpus mwaka wa pili,akapgwa disco kabisa,so me naona mabibo ni paukweli sana ingawa kwa mtoto wa mama anaweza ahc ni mateso.over.
 
MAISHA NI POPOTE WAPENDWA nimekaa mlimani miaka MINNE na nimesoma engineering course mwaka wa kwanza nimeishi MAIN CAMPUS HALL 2 mwaka wa pili aka mwaka dume aka chujio mlimani hasa uhandisini coet nilikuwepo mabibo hostel block D(NANILISURVIVE NA BADO KUNA WATU WALIKUWA KAMPUS WAKACHUJWA NINA MIFANO) . mwaka wa tatu ni kanirudi main campus na mwaka wa nne ni kamaliza MABIBO HOSTEL. NINACHOTAKA KUSEMA NINI . NI HIVI JARIBU KUKUBALI HII HALI PUNDE UPATAPO CHUMBA KWA MAANA KUNA WATU WENGI HAPO HUWA WANAKOSA VYUMBA WANAHAHA WANATAFUTA POPOTE PALE NA WANAMALIZA NA GPA NZURI .
KUNA MITAZAMO HASI MINGI KUHUSU MABIBO HOSTEL AMBAYO WATU WENGI TUNAJAZANA UJINGA PINDI TUFIKAPO HAPO MLIMANI NA INABAKI KWENYE VICHWA VYETU, MIND YOU WEWE NI INTELLECTUAL UMEINGIA KWENYE SOCIETY YA WASOMI ASSUMPTION YA KWANZA WEWE UNAWEZA KUCORP NA MAZINGIRA YEYOTE YA KIMAISHA WAKATI WOWOTE KUTOKANA NA UPEPO WAKO KAMA MSOMI .SASA ISSUE KAMA KUNA VISHAWISHI VINGI, HABARI YA KUGOMBANIA GARI, KUISHIWA BOOM NA KUANZA KUPIGA SHUTTLE PORI KUELEKEA CAMPUS SIO MATATIZO YANAYOWEZAKUFANYA WEWE KUTOISHI MABIBO . KIMTAZAMO MABIBO HOSTEL PAKO VIZURI KIMAZINGIRA (VYOO ,MABAFU ) TENA KAMA UNAKOZI CHACHE UNAWEZA KUPATA MUDA MWINGI KUJISOMEA HUKO UKAENDA ZAKO CAMPUS MCHANA, PIA KAMA MPIGA EXILE MZURI UNAPATA MUDA MAANA WATU WENGI WANAKUWA KAMPUSI(AHAAHAA JUST KIDIN GUYS).UPATIKANAJI WA CHAKULA KIPINDI NASOMA MABIBO HATA UKIRUDI SAA TATU UNAWEZA KUPATA MSOSI TENA WA KWA GHARAMA NAFUU KUTEGEMEA NA MFUKO WAKO TOFAUTI NA KAMPUSI BEI ZIKO FIXED SANA KWENYE CAFETERIA CHAKULA KINAISHA MAPEMA. MAISHA YA CAMPUS UKIACHLIA MBALI KUPATA MUDA WA KWENDA LIBRARY NA KWENYE LECTURE THEATRE KUJISOMEA USIKU NA UNAFUU WA USAFIKIRI(KUEPUKA VURUGU ZA SHUTTKE) HAKUNA JIPYA KWA KWELI MAZINGIRA YAKE NI MACHAFU LABDA KAMA WAMEBADILISHA NOW VYUMBA NI VIDOGO TENA MKIBEBANA DUUH..
SO NDUGU ZANGU PINDI UPATAPO CHUMBA MABIBO AU CAMPUS KUBALI YAISHE TULIZA AKILI UPAFEROM MAISHA YASONGE KWISHA KAZI .
SUALA LA KUWA UMEKOSA MKOPO NAJUA NI ISSUE NZITO USIKONDE I BELIEVE IN SOLDARITY FOREVER HAPO REV SQUARE MPAKA KITAELEKA .WATAPATA MIKOPO TU NA WATAISHI VYEMA .SOMENI NDUGU ZANGU TUOKE TAIFA LETU AMBAO BADO LINA ILLITERACY WENGI
ANGALIZO: UNAPOISHI MABIBO HASA KIPINDI CHA TEST AU UE JITAHIDI SANA KUWAHI MAANA KERO KUBWA NI HIYO FOLENI YA MANDELA ROAD KUTOKA HAPO MPAKA RIVERSIDE UNAWEZA KUCHUKUA HATA 45MINUTES.

Me naona post ya huyu mheshimiwa hapa ndo iwe conclusionjuu ya swala hili....kila kitu kimewekwa bayana sidhan kama kuna la kumpinga..
 
Nenda kasome mdogo wangu usidanganyike, mabibo ni pazuri sana ili mradi unafahamu nini kimekupeleka. Hata ukikaa main campas kama hujui kilichokupeleka haisaidii. Wenzio tumeishi hapo kwa muda wote wa masomo na tumerudi tena kuendelea na tunaishi hapo hapo.

thanx Stanley, mimi nitakomaa, najua kilichonipeleka chuonh.
 
nilikaa mabb enzi hizo muchs haijajitenga nilienjoy lif la pale. Washkaji walikuwa wanalalamika na mambo ya usafiri,wengine walikuwa wanapata tabu sabb ya tamaa za kimwili ila ni madomo zege lakin mi nilikuwa nafurahia purukushani za pale 2! Ukikaa bbo ile mentality ya kwamba huku wanafanya starehe if u r serious utasoma kwa amani. Mambo ya exile inabidi uchukulie kawaida tena anakuwa amekupa muda wa kwenda vimbwetani kula shule,cjui kama bado vpo! Hata hom mbona huwa nnapigana exile,tena ucku mzima? Ila kama kitanda chako ni cha chini utapewa kibarua cha kufua shuka. Natamani ningekuwa nasoma udsm aafu nakaa mabibo, tulikuwa tunatoka asubuhi na tata letu na kurudi usiku!
 
Nilikaa mabibo 1st year na matokeo yalikuwa juu,dah 2nd year n 3rd year nikahamia campus.. GPA ilishuka kwa kasi ya ajabu
 
nilikaa mabb enzi hizo muchs haijajitenga nilienjoy lif la pale. Washkaji walikuwa wanalalamika na mambo ya usafiri,wengine walikuwa wanapata tabu sabb ya tamaa za kimwili ila ni madomo zege lakin mi nilikuwa nafurahia purukushani za pale 2! Ukikaa bbo ile mentality ya kwamba huku wanafanya starehe if u r serious utasoma kwa amani. Mambo ya exile inabidi uchukulie kawaida tena anakuwa amekupa muda wa kwenda vimbwetani kula shule,cjui kama bado vpo! Hata hom mbona huwa nnapigana exile,tena ucku mzima? Ila kama kitanda chako ni cha chini utapewa kibarua cha kufua shuka. Natamani ningekuwa nasoma udsm aafu nakaa mabibo, tulikuwa tunatoka asubuhi na tata letu na kurudi usiku!

heheheheee. Nitaenda kuyaona hayo maisha. Thnx
 
Back
Top Bottom