Vijana wa sekondari waleta m4c monduli

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
797
929
Jana tarehe 5/06/2012 ilikuwa ni siku ya ufunguzi wa mashindano ya UMISSETA kimkoa(Arusha) ambayo yanafanyika chuo cha ualimu Monduli,mgeni rasmi alikuwa ni mkuu wa wilaya ya Monduli cha kufurahisha vijana wakati wanapita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi walikuwa wanaonyesha alama ya vidole viwili kitu ambacho ni kigeni katika wilaya hii.
Cha kushangaza ni pale wakati MC alipotambulisha uwepo wa mwenyekiti wa CCM wilaya wakati ile ilikuwa sio shughuli ya kisiasa,nadhani ilikuwa ni katika kutapatapa.
My take, nadhani huu ni wakati wa chadema kuja kufanya mkutano mkubwa hapa Monduli ili kuamsha ari ya mabadiliko .
 
Tunaanza na sehemu sugu,tutakuja,mda huu tunakazana na zile sehemu ngumu kwenye ngome za hawa jamaa, hapo si pagumu kabisa
 
Back
Top Bottom