Vijana wa Nape wameamua kumtakasha kaniki kupitia mtandao wa jf, je wataweza?

Kaseko

Senior Member
Feb 15, 2011
160
32
kila siku wanapost vitu ambavyo havina maana na ambavyo havina tija 'je kaniki hawamjui rangi yake au wanasumbuliwa na njaa?' badala yake wangejadili juu ya kero zinazowasibu wananchi na kusaidia kupatikana haraka kwa majawabu ya matatizo kama vile umeme na mfumko wa bei na kuwashauli viongozi wao wasiwe mizigo.
 
bwanae Nape na magamba wenzie wameoza hata wakamuliwe ndimu wawekewe tangawizi,iliki, k.swaumu,mdalasini shombo iko palepale hawaliki teena jalala linawahusu
 
Back
Top Bottom