Vijana wa Mafia watumia Facebook kufichua maovu ya Mbunge wao

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Ni kutokana na ahadi nyingi za kisiasa alizoweka na hadi sasa hajatimiza, vijana wa Mafia wanatumia facebook kujadili mustkabli wa kisiwa Chao
tayari mtandao huo mdogo wa facebook unaojulikana KISIWA CHETU CHA MAFIA unaonekana umekuwa mwiba mkali kwa Mh Bulj.
Wadau mbali mbali kama Mbaraka Dau ambae amejiapnga kumuangusha Bulj anaonekana kuwa mwanachama hai wa mtandao huo

Hongera vijana kwa kuamka mapema
ni hapaWelcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More
 
hii ni hatua kubwa ya maeneleo kisiasa na kijamii. naamini Kimbao, bulj na mbaraka dau waatumia fursa hii kujieleza. lkn inawezkana ikawapa wakati mgumu
 
Back
Top Bottom