Vijana wa kuhesabu kura uchaguzi mkuu

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
805
425
Hii nimeipata kutoka kwa wana bidii blog

--- On Tue, 5/10/10, boniface magessa <magessabm@gmail.com> wrote:

From: boniface magessa <magessabm@gmail.com>
Subject: [wanabidii] PROFESA MUKANDALA AFANYIA INTERVIEW WATU WA KUHESABU KURA HAPA MOSHI!!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 5 October, 2010, 11:04

Habari wanabidii wenzangu,
Jana mdogo wangu ameitwa kwenye usaili hapa Moshi (YMCA) kwa ajili ya kupata watu wa kuhesabu kura siku ya oktoba 31.Amefanyiwa usaili na profesa Mukandala,makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salaam.Eti ana kampuni ya TEMCO iliyopewa tenda hiyo na NEC ya kutafuta watu wa kuhesabu kura ktk uchaguzi mkuu.nisaidieni jamani hivi Mkandala si ni CCM damu yule!!! nisaidieni nini kinaendelea katika nchi hii!!au aliye na taarifa zaidi aniambie kuhusu hili.iam shocked!

Jamaa alimjibu

In short ni JAKAYA MRISHO KIKWETE ndiye alimpitisha (mteua) Prof. RWEKAZA MUKANDALA kuwa VC wa University of Dar es salaam kama shukurani ya kazi nzuri ya REDET iliyompatia Kikwete Usindi mwaka 2005 na motto wa Hali mpya nguvu mpya na kasi mpya na kuwaacha akina Prof. Kikula chari mbaya.
 
kura zinahesabiwa na nani kwa kwaida. Vijana msusieni huyo mwizi Mkandala ...... kama ni tenda itangazwe nchi nzima mchakato ueleweke. CCM wanakuja na ujanja mwingine wa wizi..................
 
Kuna haja ya kufahamu namna ya hawa wahesabu kura wanavyopatikana. Zimebaki less than 4 weeks kabla ya uchaguzi hadi hii leo bado tu wahesabu kura hawajajulikana? kazi kweli kweli!

Nasikia kuna mkakati wa tanesco kuzima taa nchi nzima na tume itasema kwamba uhesabuji hautawezekana kwa sababu hakuna umeme vyama vya upinzani vikikubali tu basi hapo ndiyo wizi mkubwa utafanyika. TLP, CUF, NCCR na utitiri wa vyama vingine inadaiwa vitayakubali matokeo haraka sana.

Na kama tunavyofahamu vyama hivi havitoi upinzani wowote kwa chama filisi. Hivyo katika jumuiya ya kimataifa chama filisi kitataka kuonyesha kwamba CHADEMA ndiyo wakorofi kwa kukataa matokeo. Watanzania tujiandae na makarabai na tochi nchi nzima ili kama umeme utakatwa kama mkakati wa kuiba kura basi tutoe karabai zetu ili uhesabuji uendelee bila doa.

Hakuna kulala mpaka chama filisi tumekiondoa madarakani.
 
Msiwe na wasiwasi hayo yote tunayajua na tumejipanga. Ngoja tu wafanye hayo madudu wenyewe watashangaa.
 
kwa kweli mwaka huu ccm wameshafulia. Kwa sasa wameshashindwa hivyo wanajipanga jinsi ya kuiba kura ndio maana wanawachagua vishanshuda wenzao watafute watu wa kuhesabu kura ili waibe vizuri.
 
Kuna haja ya kufahamu namna ya hawa wahesabu kura wanavyopatikana. Zimebaki less than 4 weeks kabla ya uchaguzi hadi hii leo bado tu wahesabu kura hawajajulikana? kazi kweli kweli! Nasikia kuna mkakati wa tanesco kuzima taa nchi nzima na tume itasema kwamba uhesabuji hautawezekana kwa sababu hakuna umeme vyama vya upinzani vikikubali tu basi hapo ndiyo wizi mkubwa utafanyika. TLP, CUF, NCCR na utitiri wa vyama vingine inadaiwa vitayakubali matokeo haraka sana. Na kama tunavyofahamu vyama hivi havitoi upinzani wowote kwa chama filisi. Hivyo katika jumuiya ya kimataifa chama filisi kitataka kuonyesha kwamba CHADEMA ndiyo wakorofi kwa kukataa matokeo. Watanzania tujiandae na makarabai na tochi nchi nzima ili kama umeme utakatwa kama mkakati wa kuiba kura basi tutoe karabai zetu ili uhesabuji uendelee bila doa. Hakuna kulala mpaka chama filisi tumekiondoa madarakani.

Watatumia chemli? Hata hivyo hakuna kulala. Na ikiwa hivyo huo ndio mwanzo wa kumwaga damu!!!!!!!!
 
Hii nimeipata kutoka kwa wana bidii blog

--- On Tue, 5/10/10, boniface magessa <magessabm@gmail.com> wrote:

From: boniface magessa <magessabm@gmail.com>
Subject: [wanabidii] PROFESA MUKANDALA AFANYIA INTERVIEW WATU WA KUHESABU KURA HAPA MOSHI!!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 5 October, 2010, 11:04

Habari wanabidii wenzangu,
Jana mdogo wangu ameitwa kwenye usaili hapa Moshi (YMCA) kwa ajili ya kupata watu wa kuhesabu kura siku ya oktoba 31.Amefanyiwa usaili na profesa Mukandala,makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salaam.Eti ana kampuni ya TEMCO iliyopewa tenda hiyo na NEC ya kutafuta watu wa kuhesabu kura ktk uchaguzi mkuu.nisaidieni jamani hivi Mkandala si ni CCM damu yule!!! nisaidieni nini kinaendelea katika nchi hii!!au aliye na taarifa zaidi aniambie kuhusu hili.iam shocked!

Jamaa alimjibu

In short ni JAKAYA MRISHO KIKWETE ndiye alimpitisha (mteua) Prof. RWEKAZA MUKANDALA kuwa VC wa University of Dar es salaam kama shukurani ya kazi nzuri ya REDET iliyompatia Kikwete Usindi mwaka 2005 na motto wa Hali mpya nguvu mpya na kasi mpya na kuwaacha akina Prof. Kikula chari mbaya.

Kwani kuhesabu kura kunahitaji maelekezo ya Professor wa political science? Si kujua kuhesabu, kutoa na kujumlisha! Hesabu za shule ya msingi tosha! Ila mimi najua TEMCO ni election observer/ monitor (Tanzania Election Monitoring Committee).

Kwa manispaa ya Kinondoni kazi hizo zilitangazwa kwenye gazeti la Daily News, sasa sijui kwa manispaa nyingine walipatikana vipi? Anayehesabu kura ni Msimamizi wa Kituo na msaidizi wake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom