Vijana wa CUF Unguja waandamana kudai hatma ya maamuzi yao baada ya Uchaguzi 2015

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397


Vijana wa Chama cha wananchi CUF wamevamia Makao Makuu yaliyopo eneo la Mtendeni Zanzibar wakitaka kujua hatma ya maamuzi yao ya October 25 mwaka jana ambapo chama hicho kinadai kilishinda uchaguzi kabla ya kufutwa.

15252655_1538036316222827_1579341889980668305_o.jpg

15259289_1538036459556146_1823277587269925559_o.jpg

15220169_1538036526222806_596748823763823210_n.jpg
 
1480502922295.jpg
1480502951427.jpg
Vijana wa Chama cha Wananchi CUF wamevamia makao makuu ya chama hicho Mtendeni, Zanzibar, kutaka kujua hatma ya maamuzi yao ya Oktoba 25 mwaka jana ambapo Chama hicho kinadai kilishinda uchaguzi kabla ya kufutwa

Vijana hao walimiminika makao makuu Mtendeni wakimtaka maalim Seif Sharif Hamad atoe kauli kuhusu muhstakabali wa nchi

Vijana hao wa CUF, wakiwa na mabango wenye ujumbe tofauti mwingine ukisomeka tumechoka, walimtaka maalim awaambie kama ameshindwa aseme ukweli.
 
Sanaa hizo,halafu atatokea Maalim sefu atawatuliza.Itaonekana sefu ana nguvu sana,kawatuliza vijana wenye jazba!
Wao wameshaambiwa jini ameshapanda kichwani,karibu atataja jina,maandamano ya kisanii ya nini?Huyu sefu siku wakimgundua kuwa anawachezea akili watamla nyama
 
Sanaa hizo,halafu atatokea Maalim sefu atawatuliza.Itaonekana sefu ana nguvu sana,kawatuliza vijana wenye jazba!
Wao wameshaambiwa jini ameshapanda kichwani,karibu atataja jina,maandamano ya kisanii ya nini?Huyu sefu siku wakimgundua kuwa anawachezea akili watamla nyama
Kabombee we ndiyo umechezewa akili, vinginevyo utoe tafsiri ya uchaguzi ambao lazima Ccm ishike dola.
 
Wakikusumbua tu niambie mimi, dakika 5 tu watapotea, ngoja tuone malaika asiyejaribiwa atafanya nini
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Haya.. Lipumba mtamwelewa tu.. Mchawi wa cuf ni Seif mwenyewe
Uchaguzi ulishaisha na rais ni Dr shein. mambo mengine ni kutaka kuleta kero zisizo na msingi..maalim Seif atawaambia wawe na subira hadi Umoja wa mataifa utoe shinikizo kwa serikali.ushauri wangu wa bure kwa Ustaadh Seif..aachie ngazi na awapatanishe wana CUF wa bara na visiwani. pia aachane na Ukawa ya Mbowe inamuaibisha sana..najua mpo humu msiotaka kuambiwa tofauti na hayo.mwambieni baba yenu tofauti na hapo manundu ni halali yenu...manake hamna namna
 
Baada ya kusikia kauli ya Balozi wa EU kuhusu uchaguzi wa 25 october wameona nao washinikize kuonyesha dunia kwamba bado wanasubiri maaumuzi yao.
 
Umoja wa Ulaya watoa tamko juu hali ya kisiasa Visiwani Zanzibar....
 

Attachments

  • 1480510639063.png
    1480510639063.png
    84.7 KB · Views: 82
Ndio wakome mambo ya kike kike kususa susa ni ukike tu, mara wasusie uchaguzi mara wasusie salamu alafu wanakaa misikitini wanajifanya wao ni waumini wakubwa wa Kislam vifua vyao vimejaa roho mbaya wanasahau hekma ndogo tu kuwa kama Mungu hajataka ata ukashitaki kwa nani huwezi kuwa Rais na akikutunukia ata aje nani utakuwa Rais, angalau hawa Wapemba wangejua hili tu wangejisaidia kujiongeza kwenye maisha yao ya kila siku.
 
Wazanzibar wanajielewa sio sisi wabara ambao tunaburuzwa wote kimya hata ktk haki zetu za kikatiba
Ni kweli wanajielewa ndo maana hadi sasa hawajui kuwa uchaguzi ulishsisha na rais ni Shein..wao bado wanajua rais atatangazwa na maalim seif..kwelu wanajitambua
 
Back
Top Bottom