Vijana wa CLOUDS FM Dream Team

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Hawa ni miongoni mwa vinara radio clouds kweli kuna radio hapo?? Hebu mnaosikiliza hii radio mniconvice mie pia maana nina mashaka na ujuzi wao kwenye fani ya habari na utangazaji...

13963_180871213900_616428900_2823648_6818799_n.jpg

From left to right Arnold kayanda, Dina Marios, Shadeiya, Fatty, Zamaradi Mketema, Rommy Jones
 
jamani jamani mfunyukuzi...mbona wapo poa tu tatizo hapo liko wapi?
 
Tehe...tehe...!!!!!!!!!!!
Unamashaka na ujuzi wao..... Utandawazi kitu kizuri sana! Imagine kusingekuwa na internet nani angekusikia na ulizo lako hilo?
Haya wenye habari thubutuni kuongea kwa uwazi!!!!!
Hahahahaha.........!
 
Hawa ni miongoni mwa vinara radio clouds kweli kuna radio hapo?? Hebu mnaosikiliza hii radio mniconvice mie pia maana nina mashaka na ujuzi wao kwenye fani ya habari na utangazaji...

13963_180871213900_616428900_2823648_6818799_n.jpg

From left to right Arnold kayanda, Dina Marios, Shadeiya, Fatty, Zamaradi Mketema, Rommy Jones

Wote choka mbaya sana. Halafu mbona wamekonda konda hivyo...wanalipwa kiasi gani hapo mawingu?
 
jamani jamani mfunyukuzi...mbona wapo poa tu tatizo hapo liko wapi?

Kweli wako very cool tatizo liko wapi plus u cant judge the book.....

or this is another JF vs Clouds thread... I dont get it hahhaa
 
Kwa habari nazosikia na ukiwaangalia watu wenyewe, naona ni sawa kabisa.

Ila kibaya ni JF kukaa tunawajadili hawa watu. Hapo na sisi tunakuwa SAWA KABISA na wao.

Kwanza hawa jamaa walituibia MAWAZO ya kusaidia waathirika Mafuriko.
Kuendelea kuwajadili ni kuwapandishia tu chat. Sasa hadi Nyani na yeye anachangia, jamani :confused3:
 
Hawa ni miongoni mwa vinara radio clouds kweli kuna radio hapo?? Hebu mnaosikiliza hii radio mniconvice mie pia maana nina mashaka na ujuzi wao kwenye fani ya habari na utangazaji...

13963_180871213900_616428900_2823648_6818799_n.jpg

From left to right Arnold kayanda, Dina Marios, Shadeiya, Fatty, Zamaradi Mketema, Rommy Jones

kwa habar zaidi kuwahusu kaskilize anti virus mixtape 1 na 2..
 
Unagundua leo mkuu? Kama ulikuwa unasikiliza hapo mwanzo nadhani akili yako itakuwa tayari imejazwa tope,maana ndio falsafa ya akili,kile ukijaangaliacho na kusikiliza kinashape ubongo wako....hawa ni wapiga domo sio watangazaji...kwa vigezo vya uandishi kwa Clouds Fm wengi ni waandishi wa habari na watangazaji....
 
misosi bongo kibao lakini afya za migogoro'wanalipwa bei gani na yule muhaya?kayanda na sauti ya usharabalo kumbe chembambaaaaaaaa
 
Wote choka mbaya sana. Halafu mbona wamekonda konda hivyo...wanalipwa kiasi gani hapo mawingu?
kumbe NN ulianza kuitetea clouds mwaka 2011? kulikoni? uliopoa kamojawapo humo kweny hizo picha?
hakuna aliyekonda hapo...ushazoea mijimama innayoshinda mac donald
 
Mbona Afya mgogoro?
Wajua kama humlishi vizuri Punda wako, usitegemee akufanyie kazi kwa uwez wake wote.
Ndio najua sasa chanzo cha hii Redio kuwa na madudu kila siku.
Kidogo labda Dina Marious ndo afadhali, tena labda itakua kutoka kwa mumewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom