Vijana wa CHADEMA walioko ndani Igunga kwanini wasitolewe?

Baada ya vurugu za Igunga kuonyesha mwelekeo wa CCM na kuonyesha nia ya Nape ni kuangamiza vijana wanaotafuta haki yao. Vijana sasa hivi hawatakubali kuvumilia upumbavu huu wa kuuwawa bila sababu eti sababbu ni itikadi ya siasa. Hao ccm watalia wenyewe huko mitaani.
Mkuu Fasta Fasta vijana waliopo Igunga yafaa wakaandamana kudai wenzao watolewe jela!!!!!!!!!! Vinginevyo watu watakufa na kuwekwa ndani bila hatua yoyote kuchukuliwa!!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom