Vijana wa Chadema Mwalikeni Malemo

Ebu weka hayo maneno yangu niliyoandika arusi, abari, hamani, humu Jamvini hakuna sehemu yoyote mie nimeandika hivyo ukiweka mie najitoa JF kuanzia leo zaidi ya hapo wewe ni mtu wa mipasho tu...neno siyo na sio kwangu mie sio ndio sahihi...kuna members wengi tu humu JF wanatumia neno sio badala ya siyo kama AshaDii na Ribosome.


Dah! ritz.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom