Vijana wa CDM Dar nao ku"OCCUPY" Jiji kuunga mkono wa Arusha?

Dar esa Salaam anayoizungumzia ni pale ikulu ilipo,heri ukatafute shimo la kujificha.

Dar es Salaam hakuna upuuzi huo hata siku moja nimekwambia pelekani kule Bonyokwa kwa wachagga wenzenu..

Dar nani anamjua Lema wewe?
 
CHADEMA hawana ujanja Dar. Wataishia kilomita 10 kutoka katikati ya jiji, tutawala mkong'oto mpaka wajue njia ya kuondokea, waambie wajaribu.

Haijalishi iko siku kitaeleweka tu,mbona libya kilieleweka.
 
daa afadhali nielekee mlimani city.. Nimekwenda kununu nondo za 16mm zimefika sh 19,000 kwa pc 1
 
CHADEMA hawana ujanja Dar. Wataishia kilomita 10 kutoka katikati ya jiji, tutawala mkong'oto mpaka wajue njia ya kuondokea, waambie wajaribu.
Hawara wa mafisi mwitu wa raslimali zetu!! jifiche haraka uvunguni kadhia huiwezi weye!!
 
Utanieleza nini mimi habari za Bonyokwa na Temboni kiwanja unapimiwa kwa miguu, kwanza Kimara hakuna mtu mwenye hati..

Kule hakujapimwa kaka mabondeni, na sehemu kibao tu nawakatia watu..

Bibi yangu yupo mtaa wa Mafia anakula bata tu kwenye nyumba yake..

umaskini na ujinga uliopitiliza duniani ni uzito wa kufikiri,jf sio jamvi la watu wneye mawazo mepesi mepesi kama yako,nina wasi wasi sana kama kweli wewe unaishi dar es salaam...pole kwa uvivu wa kufikiri
 
Faiza Foxy umetumwa?, Waambie waliokutuma safari ndo imeanza, mwendo mdundo, we chungulia dirishani uone picha.
 
hata mimi simfahamu naona kama vile ni mfanyakazi wa Breweries si unaona ana tisheti ya Tusker
72031_170757579626073_100000754953729_296530_8144535_n.jpg

Unamfahamu huyu?
 
CHADEMA hawana ujanja Dar. Wataishia kilomita 10 kutoka katikati ya jiji, tutawala mkong'oto mpaka wajue njia ya kuondokea, waambie wajaribu.

unaboa, ungelijua hilo usingekua unaweka post humu , labda ubadilike, najua ni malezi hukulelewa vizuri
 
Ca [IMG said:
http://a1.sphotos.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-snc4/72031_170757579626073_100000754953729_296530_8144535_n.jpg[/IMG]

Unamfahamu huyu?
Mhhh wakuu hebu naomba kuelimishwa , hapa imekaaje kwa muheshimiwa waziri mkuu kuvaa T-shirt yenye nembo ya Tusker????? Ni halali??? Au ndio ushamba wetu, twafanya matangazo???

Wewe unaongelea Dar es Salaam gani labda Kimara Bonyokwa au Temboni..

Dar es Salaam hakuna ujinga huo hata siku moja

Unatafuta mwanaume wa ku kula,na utampata tu very sooon, na ata ku Kamerun ipasavyo
 
CHADEMA hawana ujanja Dar. Wataishia kilomita 10 kutoka katikati ya jiji, tutawala mkong'oto mpaka wajue njia ya kuondokea, waambie wajaribu.

Sasa wewe ni kiburudisho cha Mkwer.e, Nepi, Lowasa, Makamba au ndo cha wote
 
Back
Top Bottom