Vijana wa CDM Dar nao ku"OCCUPY" Jiji kuunga mkono wa Arusha?

PAMBA1

Member
Sep 13, 2011
55
26
Hasira ya vijana wa DSm kwenye sakata la Mh Godbless Lema na hatma ya Wanachadema Kukesha Viwanja vya NMC wameamua kufanya jambo ambalo litaushangaza ulimwengu ifikapo kesho asubuhi iwapo Mh lema hatoachiwa huru bila masharti.

FREEDOM COMES TOMORROW - MLIMANI CITY!

http://WWW.OCCUPYDAR.BLOGSPOT.COM
 
Taarifa yako haijakamilika,ungeeleza kama mmefanya jinsi ya kukutana na kukinukisha,maana umeongea kama mtu mmoja anajejitegea.
nye watu wa dar mnatakiwa mshikamane mana ndo huwa hamweleweki kabisa.
Vivaah chadema
 
Wewe unaongelea Dar es Salaam gani labda Kimara Bonyokwa au Temboni..

Dar es Salaam hakuna ujinga huo hata siku moja
 
Hasira ya vijana wa DSm kwenye sakata la Mh Godbless Lema na hatma ya Wanachadema Kukesha Viwanja vya NMC wameamua kufanya jambo ambalo litaushangaza ulimwengu ifikapo kesho asubuhi iwapo Mh lema hatoachiwa huru bila masharti.Inasikitisha sana kwani kikwete,membe na bilal wapo ikulu wanakula bata na mtoto wa mfalme wa Uingereza.a.k.a shoga sasa walichokuwa wanabweka kuwa hawataki mashoga maana yake jakaya na membe ni mashoga
fafanua hapo kwenye nyekundu wameamua nini wapi na ninani katoa tamko hilo.
 
Wewe unaongelea Dar es Salaam gani labda Kimara Bonyokwa au Temboni..

Dar es Salaam hakuna ujinga huo hata siku moja

72031_170757579626073_100000754953729_296530_8144535_n.jpg

Unamfahamu huyu?
 
Taarifa yako haijakamilika,ungeeleza kama mmefanya jinsi ya kukutana na kukinukisha,maana umeongea kama mtu mmoja anajejitegea.
nye watu wa dar mnatakiwa mshikamane mana ndo huwa hamweleweki kabisa.
Vivaah chadema

Kamanda tupo wengi na isitoshe yanayoweza kutokea hapa ni makubwa kwani watu wanayo hasira mbaya sana.Ikumbukwe kuwa Dar es Salaam imezoeleka kuwa ni watu wa mwisho lakini Hamtaamini hili.
 
Wewe unaongelea Dar es Salaam gani labda Kimara Bonyokwa au Temboni..

Dar es Salaam hakuna ujinga huo hata siku moja

Ritz kumbuka ninakutafuta nilikukosakosa kwenye Harusi moja last week bt sijakata tamaa
 
Wewe unaongelea Dar es Salaam gani labda Kimara Bonyokwa au Temboni..

Dar es Salaam hakuna ujinga huo hata siku moja
Nakaa masaki huku pua umebana, nenda kaangalie huko temboni na bonyokwa jinsi watu walivyotandika vitu vya maana zaid ya hiyo old town, acha mawazo mgando, umeboa, watu wanakomaa wanatafuta vyao, wengine wanatamba na nyumba zetu ambazo wamejimilikisha kwa mda lkn a day will come na zitarudi kwa umma. Na bibi yako aliyeko mchafukoge yeye vipi bado hajakinukisha?
 
mlimani cty pita uone vijana wengine wapo kino na kigogo kiukweli vijana wa dar wameamua.
 
Makamanda nimepita Mlimani City hili kundi la vijana hapa round about sielewi hatma yao ni nini wanaimba Freedom is Coming tomorrow hakika nimejikuta nimejumuika nao hawa na hata koti sifuati kwani ukombozi ni lazima tuu eleweni huu ni Mpango wa Mungu watu hapa wanahasira sana.
 
Nimesema tena!

Reconcile with G Lema ... Chukua Waraka Wake Brainstorm it Honestly .. Rudisha.. Utu na Ubinadamu Mitaaani. Utu kama UPENDO, Utu kama HESHIMA na Utu kama MATUMAINI kwa Vijana na Watanzania Wote!

Vinginevyo ..hakuna.. atakayekuwa na ujasiri wa kuona kitakachotokea mbeleni!!
 
CHADEMA hawana ujanja Dar. Wataishia kilomita 10 kutoka katikati ya jiji, tutawala mkong'oto mpaka wajue njia ya kuondokea, waambie wajaribu.
 
Hii ni Nguvu inamaana viongozi hawa wanaotumia Masaburi hawaoni hasira ya vijana wa Dar?tutakwenda kukesha Airport ili huyu Shoga asiende Zanzibar
 
Mbona sisikii viongozi wakubwa wakizungumzia hili swala au wanajifanya hawaoni angali bado wanamacho,kazi wawapekujipendekeza kwa watu maarufu hapa duniani ....
 
Nakaa masaki huku pua umebana, nenda kaangalie huko temboni na bonyokwa jinsi watu walivyotandika vitu vya maana zaid ya hiyo old town, acha mawazo mgando, umeboa, watu wanakomaa wanatafuta vyao, wengine wanatamba na nyumba zetu ambazo wamejimilikisha kwa mda lkn a day will come na zitarudi kwa umma. Na bibi yako aliyeko mchafukoge yeye vipi bado hajakinukisha?

Utanieleza nini mimi habari za Bonyokwa na Temboni kiwanja unapimiwa kwa miguu, kwanza Kimara hakuna mtu mwenye hati..

Kule hakujapimwa kaka mabondeni, na sehemu kibao tu nawakatia watu..

Bibi yangu yupo mtaa wa Mafia anakula bata tu kwenye nyumba yake..
 
Back
Top Bottom