Vijana tujitokeze, tuwaunge mkono Chadema!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Sisi kama vijana wa Kitanzania tumekuwa tukikabiliwa na Changamoto kadha wa kadhaa kama vile Umri, Kabira, hali ya kindoa (Maritual status), hali duni ya uchumi, mitazamo hasi kuhusu vijana (wrong perceptions), kutokuwapo na imani, Elimu ya kawaida na isiyo na udhaifu, na vikwazo vingine kadha wa kata. LAKINI NI KITU KIMOJA TU AMBACHO KIMEKUWA KIKITUUNGANISHA SOTE KWA PAMOJA, KIMETUDHAMINI NA KUTUFANYA TUSAHAU MACHUNGU YETU, KIMETUJENGA NA KUTUPA MOYO WA KUJIAMINI NA KUTHUBUTU, SI KINGINE BALI NI CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO. Wakati umefika sasa wa kujitokeza na kukisuport chama chetu kipenzi CHADEMA.
 
Naunga mkono hoja hii kwa asilimia zaidi 100% tena naomba kutoa wito, ombi na ushauri kwa vijana wenzangu wote mahali popote katika nchi yetu bila kujali dini wala kabila tujiandikshe kwa wingi hasa wale ambao hawajajiandikisha,wliopoteza kadi/vitambulisho vya mpiga kura,na wengine ambao kwa namna moja ama nyingine waliziuza kwa chama cha mapinduzi ccm wakati wa kampeini ili waweze kupata fedha za kujikimu kwa siku mbili tatu na kisha kujerea kwenye shida baadae.

Ndugu zangu na vijana wenzangu naomba tujitazamena kujipanga vizuri maana sisi vijana ndio wenye uwezo wa kuleta mabadiliko katika nchi yetu na wala sio wazee,siwabezi wazee wetu maana mchango kulifiksha taifa letu lilipo ni kazi ngumu japo taifa limechoka linaenda tu kama kondoo wasio na mchungaji.

Hivyo vijana wenzangu naomba daftari la kudumu la wapiga kura litakapoanza kufanyiwa marekebisho tujitokeze kwa wingi kujiandikisha.

Ahsanteni sana
 
Ushauri mzuri,pia tusidanganyike na propaganda za vyombo vinavyotumika na sisiemu,kushuka kwa wapiga kura kunachangiwa na mambo mengi sana!
 
Nakubaliana nawe ndugu yangu. Vijana tujitokeze kwa wingi.
 
Ushauri mzuri,pia tusidanganyike na propaganda za vyombo vinavyotumika na sisiemu,kushuka kwa wapiga kura kunachangiwa na mambo mengi sana!

Tukiwa na malengo na kushiriki kikamilifu magamba watatafutana wenyewe. Chamsingi tuanze kujitokeza na kushiriki!
 
Vijana tusilaleeee lalee laleeee BADO MAPAMBANO! :rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
 
Back
Top Bottom