Vijana na umbumbu wa uelewa

Hansen Nasli

JF-Expert Member
Mar 18, 2012
883
337
Vijana wa tanzania bara na umbumbu wa uelewa...!imegunduliwa na tume ya kujipima utawala bora,kuwa vijana wengi watanzania ni mambumbu na hawana uelewa wowote,

moja na kubwa lilowashangaza hadi vijana wasomi wa vyuo vikuu hawana uelewa wowote wanashindwa kutambua na kutofautisha majukumu ya serikali na wananchi!
 
Hii tabia ya kuongea na ndugu zako wawili watatu, ukaona unawazid kidogo mawazo unaamua generalize mambo,we ndio mbumbu zaidi,
mwaga data hapa ,
unajua hata idadi ya vijana wenye shahada hapo kwenye wilaya yako?
 
Vijana wa tanzania bara na umbumbu wa uelewa...!imegunduliwa na tume ya kujipima utawala bora,kuwa vijana wengi watanzania ni mambumbu na hawana uelewa wowote,

moja na kubwa lilowashangaza hadi vijana wasomi wa vyuo vikuu hawana uelewa wowote wanashindwa kutambua na kutofautisha majukumu ya serikali na wananchi!

Ni ukweli usiopingika kuwa elimu inayotolewa sasa hivi ni ya juu juu mno na haikidhi uelewa unaostahiki katika masuala mengi kwa vijana wa leo.
Pamoja na mada hii mimi siwa laumu vijana maana kuna mserereko wa kasi katika viwango karibu kila mahali.
Viwango vya elimu vinazidi kuwa duni(wanaoingia form one hata kusoma na kuandika inakuwa shida)
Miaka hiyo darasa la saba unamung'unya umombo wa malkia sawa na kijana yeyote Afrika Mashariki, na si umombo tu, jiografia ya Dunia,majira yake na watu wake unakuwa unauelewa mpana kwa sana tu.
Leo hata waalimu wenyewe hawajui jiografia ya Tanzania, achia mbali ya Afrika Mashariki.

Kijana anayetaka kujiendeleza inabidi afanye juhudi kubwa ilikuziba pengo la uelewa katika masuala mengi ya dunia.
Kaika mijadala humu jamvini ni wachache sana wanaoonyesha uelewa(general knowledge) katika masuala yanayotukabili.
 
Sikufichi kujua vitu vingi simpaka usome phd, elimu ya darasani inakufanya uelewe tu kwenye misingi ya program unayoisomea. Kwa maana hyo yule anayesoma vitu ving kama vitabu, magazine na magazeti mbalimbali vinavyohusu mustakadhi wa nchi jamii kwa ujumla na mwongoz wake ndo anaye elewa vi2 vingi.
 
Pengine ni kutofautiana tuu kwa mtazamo hapa.
ZANZIBAR WANAJUHUDI YA KUJIFUNZA MAMBO FULANI FULANI AMBAYO SI LAZIMA YAWE SAHIHI.BARA WATU WAPO TOFAUTI SANA KATI YAO KIASI CHAKUWAFANYA WASIWE RAHISI KUPEWA ORGANISED KNOWLEDGE.KILA MTU ZAIDI YA SHULE ANACHAGUA WAPI AJIKITE SANA NA WAPI APACHE. VIJANA WA BARA ASIYE NA ELIMU WAPO KTK NAFASI NZURI YA KUWASHINDA WASOMI WA ZANZIBAR KWA COMMON SENSE TUU.
Kuna taarifa za kujirudiarudia na zinazoendana na imani fulani Zanzibar zinanunulika sana(propaganda),bara lazima ukute watu tofauti always.
mfano .Wape swali la muungano sikiliza majibu ya zanzibar yanafanana,bara yatakuwa tofauti sana na mawazo mapya yatakuwepo.
- Tupa swali kuhusu ukoloni, majibu ya zanzibar ni ya kuchagua mkoloni ila si ya kupinga au hata kuufahamu ukoloni.
- Watu wa bara hata wasiosoma hawaridhiki sana na utendaji wa wasomi wengi wa zanzibar ktk muungano ingawa wengi wanaanza na dr.
- Watu wa bara wengi kwa kutumia tuu common sense wanaona taabu kuishi na watu wa zanzibar bilahata kujua tamaduni zao.

Mlinzi wa kimasai aliyetokea porini bara anafanya vizuri zanzibar kuliko wenyewe, kwa kiasi cha kupigwa vita na wanzanzibar.Achilia mbali angekwenda msomi.
Mimi personally, naona km kuna tafiki iliyofanyika haitakuwa na ubora.My visit to Zanzibar, kuongea na watu walioanzisha taasisi za kijamii kusaidia masikini wa zanzibar ambao wengine hata choo hawana walishindwa au wameshindwa na wanataka funga.VIJANA WA ZENJI wanamiss big time thing RATIONAL THINKING.Na hii ni kwa vile wapo biased kuanzia wakisoma na wanasoma ktk preset premises.
Tafiti za wenzio zinazoprofile dunia wanaiona Zenj kuwa ni nchi inayotakiwa iwe ktk rada kwani ni km kituo cha mafuta, kinasubiri cheche tuu kulipuka.Wepesi kushawishika, wanapenda habri za kizushi ili mradi ziunganishwe na fikra fulani walizoamishwa.
 
Haiwezekani vijana wa zenj waseme wameelimika na ni waeleza kuliko vijana wa bara.Iweje wawe waelewa halafu mpaka leo hawajaelewa kuwa wao ni victims wa propaganda za viongozi wasaliti na wabinafsi zilizofikia zanzibar kuwa masikini namna hiyo.Wanapewa sababu ndogo na za kijinga kuwa muungano ndio umesababisha, mara vatican, mara marekani mara sijui nini.

Hamjawahi jiuliza kwanini hawajengi Zenj nyumba za maana,wanashindana dar tuu.Kataeni Muungano kwa ajili ya mafuta halafu mshindwe kuja huku .Badala muwabane wajieleze ni vipi kanch kadogo hivyokanabebwa hivyo bado wapo watu masikini na wasioelimika kwa kiasi hicho?Haiwezekana pamoja na kuwa jamii inayolindwa hivyo bado vijana wanafanya ngono zembe kiasi hicho, wanavuta unga kiasi hicho, kuwa na jamii kubwa haina vyoo. haiwezekani kuwa na vishamba visivyolimwa vyema, kuwa na nyumba zimeot amajani haji pembezoni mwa nyumba km hakuishi watu halafu vijana wasione cha kurekebisha.

Watakuja viongozi wenu km wafalme wa kiarabu kuzitumbua huku wakati nyie miambiwa mpigane vita na bara kwa visingizio vya kijinga. LOL
 
Huna adabu na hoja yako haina mashiko

Vijana wa tanzania bara na umbumbu wa uelewa...!imegunduliwa na tume ya kujipima utawala bora,kuwa vijana wengi watanzania ni mambumbu na hawana uelewa wowote,

moja na kubwa lilowashangaza hadi vijana wasomi wa vyuo vikuu hawana uelewa wowote wanashindwa kutambua na kutofautisha majukumu ya serikali na wananchi!
 
Hapo tusikwepe ukweli ndo haya tunayosema vijana wa bara hawana uelewa unaweza ukawa na elimu kubwa lakini huna uelewa!tujipime kwenye midahalo ujinga ambao tunaufanya kazi yetu mtoa mada akichangia ni kuzomea kuitaji kila anayechangia mada aongee mawazo unayoyapenda tu,na sasa tumegeuzwa condom na wanasiasa!tumekuwa wavivu wa kuchambua mambo!tutakachomezeshwa hatuitaji kukitafutia ukweli,?na watu tusiokuwa na msimamo mmoja wa kitaifa zaidi ya kichama!hatuwez kujilinganisha na vijana wa zanzibar,tume hiyo imeundwa na watu wenye ideology tofauti na wamegundua hilo kijana anailaumu serikali wakati ni jukumu ambalo anatakiwa alifanye yeye anaitaja serikali,panapo ukweli tuwe tunaukubali tusiwe watu wa kupenda sifa nzuri tu,tusioangalia tutaishia kuwa magreenguard,redguard na blueguard kuwapereka watu madarakani
 
Ni km unaomba hoja yenu ikubaliwe vile.Its insane kutaka watu wakubali uongo tena wa udhalilishaji kuwa wengine ni wajinga.Ili mjisikie vyema.Hii ni kutaka boost self esteem tuu na inaonyesha mnajua hilo.proof nyepesi ni hofu yenu kwa watu toka bara,wenzenu hawawaogopi wala hawataki favors..lakini nyie mnavyolalamika.mnanung`unika mno kwa vitu minor sana,kuonyesha kuwa hamuoni ,wala kujua mtatokaje ktk tope la elimu corrupt mnayopewa na wanafiki wenu ambao wakija bara wakishindwa jenga hoja, wakirudi wanwadanganya, na katk yenu mjanja akitokea mwenye mashaka na majibu wanamkwepa.

-Kwa taarifa yako nieongea na vijana wengi wa zanzibar ambao hawajwahi kuja bara na wa maeneo tofauti.Wengi wanelezea bara km vile mtu wa mexico anavyoelezea US.Wanasema bar wanaona mbali,bara walielimika zamani.Wengine wanalaumu kubanwa na dini.Wengine wanachanganya elimu na kiingereza.
- Viongozi wa zanziba pamoja na kujilimbikizia mali n akila kitu wameshindwa jenga shule za maana zenj.Kwa vile wanaamini kuwa watoto wao watakuja bara au nje.Just like arabs kings, watoto wao wanasoma elimu dunia ktk vyuo vikubwa duniani hata kama kwa kuuza nchi,watoto wa walala hoi wanapewa na nidhamu kupitia elimu ahera.Na wakisoma zingine lazima wapewe ikiwa corrupt kidogo ili watumike vizuri na wasiwe na rafiki wa kuwaamsha nje ya jamii yao.
Anza ktk level ya siasa na utawala angalia wanasiasa wenu vijana na wazee halafu angalia wa bara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom