Baada ya mh shibuda kutangaza kugombea uraisi 2015, kupitia chadema na kusema Dr slaa awe meneja kampeni wake.
Mwenyekiti wa bavicha bwana heche alijitokeza na kumpinga bwana shibuda kwa madai kwamba anavuruga chama.
Lakini tujiurize je nikosa mtu kutangaza nia yakugombea urais, pia bwana heche katumia msimamo wake kama msimamo wa bavicha, je kauli ya heche ilipokelewaje na wananchi wa maswa na watanzania wote kwa ujumla, na kama wamechukulia ni ubaguzi, maana bwana zito naye alitangaza lakini hakupingwa, bavicha inajengewa picha gani katika jamii ya watanzania.
Pia alipo jitokeza katibu wa bavicha kuweka mambo sawa kuondoa confusion, vijana wengi katika mitandao wamjia juu kwamba yeye ni pandikizi, gamba na afukuzwe.
Binafsi na mpongeza katibu wa bavicha kupinga kauli ya heche kwamba si ya bavicha, maana kuunga mkono kauli ya heche ni kujenga makundi ndani ya bavicha na kuuwa demokrasia ndani ya chadema, kama hawa kumpinga zito basi hatawengine wasipingwe, wacha watu watangaze nia tuwajadiri, tuwapime uwezo wao, wanachama wapige kura apatikane mtu wakukipatia ushindi chama 2015.
Tusibweteke kwamba dr slaa is only candidate for 2015 any thing may hapen, na akashindwa kusimama 2015, tukafanya active decision za kumteuwa mtu 2015 who can not compete. Isiwe zambi mtu kutangaza kugombea.
Kwahiyo tusijadiri kauli ya katibu wa bavicha bali tujadili kauli ya heche je inakijenga chama au inakibomoa, pia bavicha inasimamia maslahi ya wanachadema wote je kauli ya heche inasimamia maslai ya nani? Na wakati shibuda ni mwana chadema. Leo anapingwa shibuda je kesho atapingwa nani? Je kauli hii inatofautiana vipi na ile ya uvccm pale kibaha pwani. Au chadema inawenyewe wengine tunasindikiza tu.
Thanks