Vijana kujikwamua katika kupe wa kizazi cha jana

Hansen Nasli

JF-Expert Member
Mar 18, 2012
883
337
Tulishawahi kufikiri na kutafakuri juu ya misingi ya vijana kujikomboa,sisi kama vijana na kuwa na sauti moja?
 
Kabla hatujaanza kujadili hiyo ishu uliyoweka mezani, kwanza upate kinywaji upoze koo. Utakunywa nini?
 
tulishawahi kufikiri na kutafakuri juu ya misingi ya vijana kujikomboa,sisi kama vijana na kuwa na sauti moja?

hapa ni the home of great thinkers, hivyo unatakiwa kuwa makini kabla hujakurupuka kupost chochote! Hili ni jukwaa la utambulisho tu na si vinginevyo_halafu una hakika gani kama tuliomo humu ni vijana tu? Endelea kufuatilia thread za wengine ktk majukwaa mbalimbali kukusaidia kujua wapi panastahili uzi gani kwa sababu ipi! Pia zisome kwanza sheria za jf vizuri
 
Hilo limeshawahi kunijia. Ila nadhani mada hii ingependeza kama ungiweka katika jukwaa la habari na hoja mchanganyiko. By da way karibu sana JF.
 
Back
Top Bottom