vijana hebu tujiulize maswali mengi yasiyo na idadi,huenda ubongo wetu na ufahamu ulio ndani yake utagutuka na solution iliyo bora.Je wewe hapo unafanya nini kilicho bora zaidi kwa maisha yako ya sasa na baadaye.Je wajua kwamba kile ukitazamacho,ukisikiacho,unenacho ndicho hujaza ubongo na ufahamu wako?je hujui wapaswa kuchuja kile ulishacho ubongo wako?Je wajua maneno yatokayo kinywani mwako ni ishara tosha ubongo wako una utapiamlo endapo yatakuwa hayana staha mbele ya ulimwengu wa waastarabu,Je wajua kwamba maisha mazuri yanabebwa na ubongo wako?we jaribu kuchuja yaujazayo ubongo wako.si kila kitu chapaswa kuwekwa ubongoni kama vp potezea