Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete

Hapa 2po 2najadili mustakabali wa nchi ye2 hatupo kidini **** ww fisadi mkuu kuna mkoa gani wenye maendeleo unayosema ww hadi unatukana madrasa CDM wasipowafukuza wa2 wa aina yako basi wa2 wataamini kuwa kuna udini hapa 2najadilina nani ana uchungu na nchi hii na nani hana au EL, PINDA,CHILIGATI,
MREMA, CHEYO,SHIBUDA,MRAMBA,BALALI,DANIEL YONA,CHENGE,NIMRODI MKONO,NGELEJA,MEMBE pia wanaelimu ya madrasa acha ufala ww hapa 2nazungumzia taifa na co dini omba radhi kwa kauli yako FISADI MKUU
umeona eeh? waambie bwana waache kumix dini na siasa
 
Na sisi tutaandamana kuipinga. Kama hiki siyo kichaa cha mwendawazimu, CCM itaiogopaje CHADEMA kuing'a madarakani kama wana uhakika wa kupendwa na watu wengi kama tulivyotangaziwa wakati wa uchaguzi? Nchi zote ambazo serikali zimeanguka kwa sababu ya maandamano ya wananchi ni kwa sababu serikali hizo hazikuwa za kuchaguliwa na wanachi. Kama CCM ilichaguliwa na wanachi, haina haja ya kuwa na wasiwasi hata siku moja.

Kutapatapa huku kunaashiria kuwa CCM hiyo haikuchaguliwa na wananchi!
 
Ndugu zangu watanzania na hasa vijana,

Kuna tabia ya kinafiki iliyojengeka ndani ya ccm ya kujifanya kuunga kauli tata za viongozi wao ili kuwapumbaza watanzania. Tabia hii tusiipuuze kwani ina madhara makubwa kwa jamii. Watanzania wengi bado hawajaamka na kutambua mbinu hizi chafu za ccm. Watanzania hao wanaweza kuamini kuwa Chadema ni chama cha vurugu kumbe ndicho chama kilichoamsha vuguvugu la ukombozi nchini.

Naomba sana tena sana viongozi wa chadema waandae maandamano makubwa Jijini Dar es Salaam yafanyike Jumamosi tarehe 19 Machi 2011 ili kujibu upuuzi na unafiki unaotaka kufanywa na watoto wa mafisadi tarehe 16 Machi 2011. Vijana tuhamasishane kwa nguvu zote ili mahudhurio yawe makubwa yawafunike mafisadi.

Sijui mnaonaje vijana wenzangu? Viongozi wa chadema tafadhali mtilie maanani ushauri huu. Nimechukia sana kusikia eti vijana wa ccm wanataka kuandamana kuunga kauli ya ajabu kabisa ya mwenyekiti wao.

ningefurahi sana kama ungehamasisha vijana cdm kwenda kujitolea damu pale muhimbili kwa ajili ya wahanga wa gongolamboto,lakini kumbe ni maandamano ya kujibu mapigo,kweli mmekosa cha kufanya?? kwanini msinge andaa mapema kupinga hotuba ya kikwete? hamuoni kwamba mnatafuta chokochoko tuu,ushauri wangu wa bure hamasisheni sana vijana wenu kujiandikisa kupiga kura coz wengi hawana shahada za kupigia kura
 
washindwe tena walegeeeeeeeeeeeeeee! Hawaiwezi PEOPLE'S POWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER!
 
MAANDAMANO ya kuunga mkono hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa mwishoni mwa mwezi uliopita, yanatarajiwa kufanyika Dar es Salaam Machi 16, mwaka huu, yakiwa na ujumbe ‘amani yetu bado tunaipenda’. Akizungumza na waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Vijana wa Tanzania, wapenda amani, Said Mwaipopo alisema, pia maandamano hayo yatahusisha kupinga kauli viongozi wa CHADEMA zinazochochea kutokea kwa vurugu nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti huyo, inaeleza kuwa, vitendo na kauli za viongozi vya chama hicho vina lengo la kupandikiza chuki kwa Watanzania dhidi ya serikali iliyopo madarakani, ambavyo mavuno yake ni umwagikaji wa damu.
Alisema, maandamano yanayofanywa na CHADEMA huvishwa sura ya kupanda kwa gharama za maisha, wakati huohuo yakiwa na lengo la kuipinga na kutaka kuing’oa serikali.
Maandamano hayo yatafanyika kuanzia viwanja vya Mnazi Mmoja mpaka uwanja wa Bakhresa Manzese, na Mwenyekiti wa TLP Augustino Mrema anatarajiwa kuyaongoza.
source: www.uhurupublications.com

Kama ni maandamano ya vijana Augustino Mrema anamwakilisha nani hapo,
 
I have no time for the bullshit, jamani hivi hotuba na hadithi ya matukio ni sawa? We need solutions for our matatizo. Mashairi wakuu wa Nchi wamwachie mpoto.

Watakaondama kwa hili, they dzev ak 47 basi
 
MAANDAMANO ya kuunga mkono hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa mwishoni mwa mwezi uliopita, yanatarajiwa kufanyika Dar es Salaam Machi 16, mwaka huu, yakiwa na ujumbe ‘amani yetu bado tunaipenda’. Akizungumza na waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Vijana wa Tanzania, wapenda amani, Said Mwaipopo alisema, pia maandamano hayo yatahusisha kupinga kauli viongozi wa CHADEMA zinazochochea kutokea kwa vurugu nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti huyo, inaeleza kuwa, vitendo na kauli za viongozi vya chama hicho vina lengo la kupandikiza chuki kwa Watanzania dhidi ya serikali iliyopo madarakani, ambavyo mavuno yake ni umwagikaji wa damu.
Alisema, maandamano yanayofanywa na CHADEMA huvishwa sura ya kupanda kwa gharama za maisha, wakati huohuo yakiwa na lengo la kuipinga na kutaka kuing’oa serikali.
Maandamano hayo yatafanyika kuanzia viwanja vya Mnazi Mmoja mpaka uwanja wa Bakhresa Manzese, na Mwenyekiti wa TLP Augustino Mrema anatarajiwa kuyaongoza.
source: www.uhurupublications.com

puppets
 
hapa 2po 2najadili mustakabali wa nchi ye2 hatupo kidini **** ww fisadi mkuu kuna mkoa gani wenye maendeleo unayosema ww hadi unatukana madrasa cdm wasipowafukuza wa2 wa aina yako basi wa2 wataamini kuwa kuna udini hapa 2najadilina nani ana uchungu na nchi hii na nani hana au el, pinda,chiligati,
mrema, cheyo,shibuda,mramba,balali,daniel yona,chenge,nimrodi mkono,ngeleja,membe pia wanaelimu ya madrasa acha ufala ww hapa 2nazungumzia taifa na co dini omba radhi kwa kauli yako fisadi mkuu
mkuu uliyowataja woote hapo mbona hamna kitu, hao woote ni madrasa tuu.au hujasoma kile kitabu cha mafisadi wa elimu hao wafoji vyeti tuu!
 
acheni waandamane kumbe walikuwa wanatamani kuandamana kiasi hicho halafu mkuu wa msafara mtindio wa ubongo kweli ccm kwishney mwambieni mrema asimsahau cheyo hlf cheyo amkumbushe rostam asikose maandamano hayo muhimu
 
ccm wanaandamana kuunga mkono hotuba ambayo haina mvuto,JK ktk hotuba zake anadesa hadi nukta hana uwezo wa kuongeza mambo yaliyo ya msingi ,akishaandikiwa na Janury Makamba anaisoma kavukavu ndo maana hotuba zake hazivutii kusikiliza.Waandamane kwa unafiki wao na polisi wawlinde jamaa zao ila nasi tutawasha moto kama LIBYA ,TUNISIA nk wasifikiri sie mazezeta kama zamani.Kijana yoyte anayeunga mkono ccm ana maslahi binafsi kama mama yake si nyumba ndogo ya waziri ujue anachukuliwa dada yake na mbunge wa ccm

au anatumika kupeleka mabibi kwa waheshimiwa aka kuwadi
 
Naunga mkono hoja wakimwaga ugali sie tunamwaga mboga na maji ya kunywa hawajui shida hao watoto wa mafisadi wacha tuwaonyeshe sie wenye shida......chadema andaeni maandamano baada ya kumaliza yao.ili wajue kuwa tumewachoka hata kuwaona hatutaki.ole wenu nyie vikaragosi vya mafisadi.........
 
kama kawaida yao kununua watu washawapa hela na wengi wao watakua mateja.ccm jibuni hoja za cdm kwastaili hii mmekwisha.
 
Waacheni waandamane watoto wa mafisadi mbona wanatetea ulaji wa baba zao na magari ya fahari wanayoendesha wanapata huko
 
Iyo kamati ya vijana wa Tanzania imeindwa lini na nani? mandamano haya yanafanyika ili kualalisha mfumuko wa bei???
Wanadhani wanaongoza maiti, hapa mpaka kieleweke.
 
ccm haina vijana labda watoto wa mafisadi na mteja wa kununuliwa ndio watakaoandamana hawatupi presha hiyo ni ngoma ya kitoto haiwezi kukesha wakafie mbali
 
]mtoa mada na wachangiaji wote zero,[/SIZE]mnaifanya jf kama gazeti la udaku,kazi ni kusifia ya watu tu nyie mumefanya kitu gani cha maana? Wewe unataka ccm wasiandamane unamanisha katiba inamuruhusu cdm tu kuandamana? Au hujui kuandamana ni haki ya kiraia.yaani we unataka nchi ya kulipiza visasi? Kweli watanzania watu wa vijiweni kazi ni mdomo hamna tunachokifanya, eti chadema watu makini hasira za nini sasa?


Hapo kwenye RED nimeipenda, kumbe na wewe mwenyewe ni zero! kazi kweli kweli.
 
Kamati ya vijana watanzania tafsiri yake nini,kama sio kundi la makuwadi wakubaka demokrasia,wanaotaka kuwaziba midomo,ninachofurahi ni jinsi wanavyotapata kupooza kasi ya Chadema,ni fundisho tosha kwa chadema kwamba wanahitaji kukaza uzi
 
Back
Top Bottom