Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete

vijana wa ccm ni wachache sn ni drugs dealers hivyo wanaomba mapinduzi yasitokee!
 
ccm wanaandamana kuunga mkono hotuba ambayo haina mvuto,JK ktk hotuba zake anadesa hadi nukta hana uwezo wa kuongeza mambo yaliyo ya msingi ,akishaandikiwa na Janury Makamba anaisoma kavukavu ndo maana hotuba zake hazivutii kusikiliza.Waandamane kwa unafiki wao na polisi wawlinde jamaa zao ila nasi tutawasha moto kama LIBYA ,TUNISIA nk wasifikiri sie mazezeta kama zamani.Kijana yoyte anayeunga mkono ccm ana maslahi binafsi kama mama yake si nyumba ndogo ya waziri ujue anachukuliwa dada yake na mbunge wa ccm
 
CCM haina vijana.

Ni kweli, CCM haina vijana. Utakuta wale wanaoitwa makamanda wa umoja wa vijana ni wazee kwelikweli. Je, akina Kapuya, Anna Abdalah na wengine ni vijana hao, maana ni makamanda wa vijana katika mikoa wanayokaa. Hata vijana waliopo CCM ukifuatilia utakuta wote ni watoto au ndugu wa mafisadi tu.
 
SIUNGI MKONO CDM kuandaa maandamano ya kuwajibu CCM!!
Kufanya hivo itakuwa ni kupalilia siasa za maji taka!!!
Ninachowashauri chadema ni kusikiriza ujumbe wa hao jamaa kisha watoe tamko kuwajibu kupitia vyombo vya habari. Tena mtoa tamko awe Mwenyekiti wa tawi mojawapo la wakereketwa wa kijiji kimojawapo TZ au Zanzibar ili kuonyesha kuwa maandamani yao si lolote si chochote kwa uongozi wa juu wa Chama!
 
mtoa mada na wachangiaji wote zero,mnaifanya jf kama gazeti la udaku,kazi ni kusifia ya watu tu nyie mumefanya kitu gani cha maana? Wewe unataka ccm wasiandamane unamanisha katiba inamuruhusu cdm tu kuandamana? Au hujui kuandamana ni haki ya kiraia.yaani we unataka nchi ya kulipiza visasi? Kweli watanzania watu wa vijiweni kazi ni mdomo hamna tunachokifanya, eti chadema watu makini hasira za nini sasa?
 
Yes, kama kuandamana ni vigumu basi wazo lako ni sahihi kabisa.
 
[QUOTE./=Ng'wanangwa;1732641]CCM haina vijana.[/QUOTE]

.
Ni kweli kabisa mkuu. Labda wakitaka waandamanaji watangaze kulipa buku kumi kwa kila atakaejitokeza. Ila sasa kuna tatizo la fisadi atakaedhamini hiyo pesa maana zile. walizokuwa wamewekeza ndani ya chama chao nyingi zimeshindikana kurudi kwani miradi ya kitaifa waliyokuwa wamegawana kurudisha pesa zao, deal limetibuliwa na chadema. Na kule walikokuwa wakijichotea kama mabenki hawafichiwi tena siri. Wakilamba pesa kule kijinai habari zinawafikia wanahabari na uozo wao kuanikwa hadharani.
.
 
utasikia kila atakae hudhuria maandamano ataondoka na buku5 hahahaha kazi kweli
 
mtoa mada na wachangiaji wote zero,mnaifanya jf kama gazeti la udaku,kazi ni kusifia ya watu tu nyie mumefanya kitu gani cha maana? Wewe unataka ccm wasiandamane unamanisha katiba inamuruhusu cdm tu kuandamana? Au hujui kuandamana ni haki ya kiraia.yaani we unataka nchi ya kulipiza visasi? Kweli watanzania watu wa vijiweni kazi ni mdomo hamna tunachokifanya, eti chadema watu makini hasira za nini sasa?
Hiyo ni comment wakati CCM wanataka kuandamana.............
Hebu soma tena post yako wakati wa maandamano ya CDM halafu jipime wewe ni mtu wa aina gani.
kumekuwa na ongezeko la watu wanaona suport maandamano inchini. Binafisi sijui kama maandanamo wanayofikiri yakoje. Cjui wanamanisha maandamano kama ya libya? Nijuovyo maandamano ni mapinduzi ya uongozi.je ni sawa kuwa na mapiduzi ya namna hiyo sasa? Je hayo maandamano hayawezi kutuludisha nyuma? Hayawezi kutuletea vita vya wenyewe kwa wenyewe?
 
Back
Top Bottom