Vijana CHADEMA wamshukia Lowassa

Lowasa nadhani kama nikutuibia umetuibia vya kutosha na ilobaki sasa utuachie nchi yetu tufurahie rasilimali zetu kwani najua pindi atakapoingia madarakani raisi mwenye uchungu na nchi yetu utakuwa fisadi wa kwanza kufungwa na kufilisiwa kabisa pia mshukuru sana Mungu kwa kuzaliwa TZ kwani ungezaliwa China ushanyongwa siku nyingi na kukusahau tushakusahau kama Sadam aliyefikiri dunia kaiweka kiganjani mwake kama wewe ufikirivyo Tz umeiweka kiganjani mwako
 
EL ndo mrithi wa JK,endeleeni na 'people's power' inajenga afya na bora iwe mara mbili kwa siku,washirikishen pia wagonjwa wa kisukari inasaidia sana!
 
Back
Top Bottom