Vijana CHADEMA kupigwa msasa Ujerumani

duh!kama nawaona vile baada ya kufika germany jinsi watakavyozamia mitaani na kujilipua kisomali
kuna mbongo anataka kukaa bongo sikuhizi!
 
Hakika BAVICHA mko juu kama ndege ya Mhe Freeman Mbowe, Kamanda wa Anga CHADEMA. Nao BAWACHA tunawapeni heko sana kwa juhudi zenu hasa kule Kilimanjro.
 
Safi sana lakini nivema mkaweka ni watu kiasi gani wanaotakiwa huko isije ikawa ni mtu mmoja watu wakapoteza muda wao bure.
 
nimependa hii kuiweka wazi! Kwenye kamati ya mchujo wa applicants naomba Ben Saanane awe mwenyekiti wa kamati hiyo.
 
Nianze kwa kutoa angalizo,kuna taarifa za kiinteligencia nimezipata kuwa tayari watu wa kwenda uko wamepangwa tayari...tena wapo ndani ya uongoz wa bavicha taifa.kama ni ukweli sijaona haja ya kutuhadaa!! Lets wait tujionee,lisemwalo lipo kama halipo laja,na pia idadi kamili ya watakaoenda iwekwe hadharani!!
 
nimependa hii kuiweka wazi! Kwenye kamati ya mchujo wa applicants naomba Ben Saanane awe mwenyekiti wa kamati hiyo.

yah good idea,wawepo watu wa aina ya kina ben wa sanane na wengineo...apo nitaona demokrasia ikichungulia angalau!!!
 
Naomba kuuliza vijana wanakwenda Ujerumani kuchukuwa mafunzo ya nini?
 
Wew Inaonekana n Mdini na mwenye wivu kwani kila kukicha ni kebei ndiyo mana unabaki kama ulivyo bila maendeleo wengine wanasonga mbele. Kamwe Utoweza kubadilika kama utaendeleza itikadi kama hizi.
 
kujiimarisha kuhusu mambo ya kaskazini

Wew Inaonekana n Mdini na mwenye wivu kwani kila kukicha ni kebei ndiyo mana unabaki kama ulivyo bila maendeleo wengine wanasonga mbele. Kamwe Utoweza kubadilika kama utaendeleza itikadi kama hizi.
 
Back
Top Bottom