Vijana acheni chipsi yai: Kula dona dagaa ujenge heshima kitandani

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,030
8,583
Ati unamkupa brazamen pale EDO CHIPS annagiza chips yai daily hivi unafikiria chips yai itakupeleka wapi kwenye mechi kitandani?

Vijana achene hizo piga Dona Dagaa/Samaki/Kuku kasha kula sana matunda na fanya zoezi usisahau karanga mbichi kwa wingi kasha OMBA MECHI uone SPIKA WA BUNGE MAALUMU (MHE MSHEDEDE)

ATAKAVYOKUWA ANAWIKA SAWIA na WAJUMBE WA KATIBA watakavyomwagika kwa wingi wakati wa kucanga mada. Vijana achni CHIPS YAI zinawalegeza mwishowe mnatomb.ewawae/mgirlfriend zenu na vijana wadooogo mtaani
 
sawa kabisa ila mimi huwa nashindwa elewa mwanaume from monday to friday lunch yake chips mayai chips kuku.,... usiku dinner ni wali nyama .... sasa huyu atatoa wapi nguvu... mboga za majani hali matunda kituo cha polisi... ukosefu wa nguvu za kiume linazidi kuwa kubwa
 
sawa kabisa ila mimi huwa nashindwa elewamwanaume from monday to friday lunch yaki chips mayai chips kuku.,... usiku dinner ni wali nyama .... sasa huyu atatoa wapi nguvu mboga za majani hali matunda kituo cha polisi... ukosefu wa nguvu za kiume linazidi kuwa kubwa
Sio wote labda huyo huyo jaribu pengine uone moto unaounguza
 
Ungetoa mbadala wake mkuu, ili waweze kukidhi haja. Hapo hujawasaidia
 
tunakua na stress za kudaiwa fedha baada ya match,tunafikiria dau utakalotaja

aaah wapi? chips mayai hizo ... unaanza gemu unaagiza chips kuku lazima ushindwe... kula vizuri na juice ya tende loh mwanume lazimz ufanye kazi vizuri
 
sawa kabisa ila mimi huwa nashindwa elewa mwanaume from monday to friday lunch yake chips mayai chips kuku.,... usiku dinner ni wali nyama .... sasa huyu atatoa wapi nguvu... mboga za majani hali matunda kituo cha polisi... ukosefu wa nguvu za kiume linazidi kuwa kubwa

vp jamaa anaishia moja nn
 
Vijana angalieni hiyo mavitu. Pigei mazoezi, punguza kitambi, kula vizuri, lala kwa wakati sio usiku kucha unaangalia mechi za MAN U vs Chelsea! vinginevyo kinadada watawakimbia. Pombav
 
Vijana angalieni hiyo mavitu. Pigei mazoezi, punguza kitambi, kula vizuri, lala kwa wakati sio usiku kucha unaangalia mechi za MAN U vs Chelsea! vinginevyo kinadada watawakimbia. Pombav

tutawapiga vibao .. hawana adabu kuchezea chea nanilii badala ya kupiga mambo ya ukweli
 
Back
Top Bottom