Viingilio Fiesta Dar

Viingilio Fiesta Dsm

Uwanja Leaders Club

November 5 2016

Kwa Tigo Pesa 19000

Kununua tikek Kwa mawakala 20000

Ukisubili Ununue Getin 25000

Kuna Watu wanalalamika maisha magum Ila siku iyo Tutajazana Koooooohh

Imoooooohhhhh............!!!!!!!!!!!!!!!

Asanten

Ww ndio msanii w kimataifa utakae kuja kwa pesa hz. ???
 
Mtu mwenye akili timamu Huwezi kwenda sehemu Kama hiyo....siku hiyo mabinti watabakwa,watu wataibiwa Simu....ushnz wote utafanyika hapo leaders...

OVA
Mrangi una roho mbaya sana wewe ....
 
Back
Top Bottom