Viingilio Fiesta Dar

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,271
29,879
Viingilio Fiesta Dsm

Uwanja Leaders Club

November 5 2016

Kwa Tigo Pesa 19000

Kununua tikek Kwa mawakala 20000

Ukisubili Ununue Getin 25000

Kuna Watu wanalalamika maisha magum Ila siku iyo Tutajazana Koooooohh

Imoooooohhhhh............!!!!!!!!!!!!!!!

Asanten
 
Siwezi kwenda huko aisee, makundi yote ya wezi yapo humo. Ushauri wa bure tuu, kama unamwanao wa kike, mkeo, mdogo wako, mchumba wako, piga marufuku asiende la sivyo atakachofanyiwa huko hatosahau. Wanawake wanadhalilishwaga sanaaa haswa shoo ikiisha wakati wa kutoka huko njiani, fingers za kutosha, kuporwa etc. Mwenye kusikia.......
 
Back
Top Bottom