Vigogo walioenda kunywa dawa kwa mchungaji loliondo

Mi sishauri kulaumu serikali. Zingatia kwamba serikali imesimamisha huduma ili foleni ipungue. Ni kama traffic police kwenye mataa, hazuii, anapunguza foleni.

Kumbuka serikali imetoa magari ya kwenda msituni kuchimba dawa,jana nimeona STK 1045 Defender imejaa mizizi ikhtokea msituni kwenda kwa mchungaji. Na tangu juzi huduma imeongeza, na kila siku wanachimba vyoo 10. Mh. Philemon ndesambulo mbunge wa Moshi ametoa helikopta ya kusafirisha wagonjwa.

Pia Mh.Rais alimshauri mchungaji ahamie kituo kama muhimbili,yeye ndo akawaambia Mungu amemuelekeza kuwa watu waifuate aliko. Tuvute subira na nashauri mada hii isijadiliwe kisiasa. Tupo pamoja.
 
Ndesamburo,
joseph kabila,

ndesa ameto helicopter yake rasmi kupeleka mahtuti
 
Mi sishauri kulaumu serikali. Zingatia kwamba serikali imesimamisha huduma ili foleni ipungue. Ni kama traffic police kwenye mataa,hazuii,anapunguza foleni. Kumbuka serikali imetoa magari ya kwenda msituni kuchimba dawa,jana nimeona STK 1045 Defender imejaa mizizi ikhtokea msituni kwenda kwa mchungaji. Na tangu juzi huduma imeongeza, na kila siku wanachimba vyoo 10. Mh. Philemon ndesambulo mbunge wa Moshi ametoa helikopta ya kusafirisha wagonjwa.Pia Mh.Rais alimshauri mchungaji ahamie kituo kama muhimbili,yeye ndo akawaambia Mungu amemuelekeza kuwa watu waifuate aliko. Tuvute subira na nashauri mada hii isijadiliwe kisiasa. Tupo pamoja.


Duh, una data kweli kweli!! Hao wanaopona ni kweli pia au???
 
Back
Top Bottom