Vigogo wagawana ardhi Masaki na Sea Cliff kinyemela?

mjinga

JF-Expert Member
May 11, 2008
328
130
Jamani kuna usiri mkubwa sasa hivi wa kugawana viwanja katika eneo hili la Jeshi kalibu na nyumba za mawaziri Masaki na Sea cliff. Kwa habari nilizopata ni kuwa Mwinyi kesha pata eneo lake na viongozi wengine wakubwa wakubwa wameshagawana.
Mpaka sasa hivi sijasikia kuwa serikali imewapa eneo hilo rasmi hawa vigogo, au wamepewa kwa vigezo vipi.Au hii mbinu kama aliyoifanya na Magufuli naMkapa kugawa maeneo potential kama hayo bila zabuni au sababu zozote za kuhalalisha kugawiwa maeneo muhimu kama hayo
 
Last edited by a moderator:
wewe tatizo lako nini kwani ?

Achaneni na huyu Kibaraka...Ndo walewaleeee!

Hivi hamwezi mkajua huyu Babylon ni nani...!

Any serious dog cant ask such a septic question!

Embu wenye Nyuzi tupeni tuwe na uhakika, maana hata

hapa JF panatosha kuwaonyesha `who we are!
 
Join Date: Thu Feb 2009
Posts: 366
Thanks: 23
Thanked 63 Times in 49 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Sio tatizo lake ni utoto ndio unaomsumbua. Na ugeni hapa ndio tatizo, kaka vumilia utakuwa mwenyeji soon ili uanze kuchangia kwa umakini zaidi.
 
Jamani kuna usiri mkubwa sasa hivi wa kugawana viwanja katika eneo hili la Jeshi kalibu na nyumba za mawaziri Masaki na Sea cliff. Kwa habari nilizopata ni kuwa Mwinyi kesha pata eneo lake na viongozi wengine wakubwa wakubwa wameshagawana.
Mpaka sasa hivi sijasikia kuwa serikali imewapa eneo hilo rasmi hawa vigogo, au wamepewa kwa vigezo vipi.Au hii mbinu kama aliyoifanya na Magufuli naMkapa kugawa maeneo potential kama hayo bila zabuni au sababu zozote za kuhalalisha kugawiwa maeneo muhimu kama hayo

Waache wapeane zawadi ndiyo matunda ya kuwahi nchi hayo. Sisi tupige kelele wao wanasema tuwape muda, na 2010 tutaendelea kuwapa muda.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=aiuEmI2i2rw[/ame]
 
ha ha ha ha kweli common sense is not common

Unajuwa Mkuu :hii nchi ni mpata mpatae haina mwenywe ukibahatika mahali pakuchota fanya hivyo , mifano mizuri angalia viongozi wetu wengi,sasa hii ya kusema fulani wamegawana viwanja ni kujidanganya kwani wanaowachaguwa ni akina nani ?
 
Point tosha
 
Mkuu nilikuwa najiumiza kichwa kupima IQ level yako mpaka niliposoma hii. Sasa nimekuelewa. Afadhali mimi sijakurupuka kukushambulia kama wadau wengine walivyofanya. Kura ndio zinatufikisha hapa, si ndio maana yako?
 
naskia mzee ruxa alifika mwenyewe majuzi kujionea shughuli za kusafisha 'lake' hilo eneo ambazo zinafanya chini ya usimamizi wa wajeda nadhani jkt wale!.
 
Unajuwa Mkuu :hii nchi ni mpata mpatae haina mwenywe ukibahatika mahali pakuchota fanya hivyo , mifano mizuri angalia viongozi wetu wengi,sasa hii ya kusema fulani wamegawana viwanja ni kujidanganya kwani wanaowachaguwa ni akina nani ?

Commonly, akili za watu huwezi ukazipima na kuamua kwa kutumia kura. Haya yote ambayo ni machafu yamekuwa yakifanyka kwa kisingizio cha kupigiwa kura. Ni kawaida. Lakini baada ya kuwapigia kura na wakafanya hivyo, tuwaache eti tu tulipiga kura.

Hata Adolf Hitler aliingia kwa mtindo huo. Ninachoomba tusikubali hali eti tu kwa sababu tulipiga kura. Hayo pia yalikataliwa na Musharaf wakati anapindua serikali ya Pakistan na aliungwa mkono.
 
Wamegana pia Njiro-Arusha,Mbezi Beach-Dsm na inafanyika mipango kugawana Kigamboni-Dsm kwa kisingizio cha kujenga mji mpya.
 
Mkuu nilikuwa najiumiza kichwa kupima IQ level yako mpaka niliposoma hii. Sasa nimekuelewa. Afadhali mimi sijakurupuka kukushambulia kama wadau wengine walivyofanya. Kura ndio zinatufikisha hapa, si ndio maana yako?

Ndio hivyo mkuu leo inakuwaje binadamu mwenye akili yake timamu anaishi miaka 4 ya shida na dhiki na ukifika mwaka wa 5 hupewa takrima ya mbolea gunia moja au ubale wa kitenge ili ampigie mtu kura ,na binadamu huyo huyo anakuwa kama kuku husahau mateso na madhila ya maisha ya ile miaka mitano kwa ubale wa kitenge au kilo ya sukari sasa Binadamu kama hao utamuweka katika kundi gani ndani ya ulimwengu huu tunaoishi?pia ikumbukwe hizotakrima hazichipuwi kama miche ya mikorosho zinaharamiwa na watowa takrima wanatarajia kurejesha malipo yao pamoja na tija na madhara yake huwa ndio kama hayo .(itachukuwa zaidi na miaka Elfu hadi kufikia watu wenye akili kama za makalulu kuzinduka)huku wajanja wanajimarisha.
 
Join Date: Thu Feb 2009
Posts: 366
Thanks: 23
Thanked 63 Times in 49 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Sio tatizo lake ni utoto ndio unaomsumbua. Na ugeni hapa ndio tatizo, kaka vumilia utakuwa mwenyeji soon ili uanze kuchangia kwa umakini zaidi.

unamaanisha hizo post 366 za mkuu ni za kitoto au?
kama huyu ni mtoto basi hapa jf kuna watoto wengi mnoooo akiwamo mtoa hoja[mjinga]na ugeni utatusumbua sana,anyway hivi ni post ngapi zinakufanya uwe mwenyeji na mzoefu?
 
Kuna wenyeji ambao wanaboa kwelikweli.
 
Back
Top Bottom