vigogo wabwagwa kura za maoni CCM Busda

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Mwanamke ambaye ni mwanachama wa CCM ameongaza kura za maoni za kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa kiti cha ubunge cha jimbo la Busanda
Mwanachama aliyeongoza kura za maoni za chama hicho ni Lolensia Bukwimba alipata kura (230)
wagombea wengine na kura walizopata zikiwa katika mabano ni mfanyabiashara maarufu kanda ya ziwa Donald Max(159),Sosthenes kulwa(115)Nicholaus kasendamila(47) na mkuu wa wilaya ernest kahindi(7)
 
Weldone my sister japo kuwa tunatofautiana ideology tunashare vision ya making Tanzania a better place to live. Nitakuwa opposition ili tuweze ku create checks and balances for I believe in difference does not mean wrong. Kila la heri.
 
Mods..
Ningeomba posti hii na nyingine zote zinazohusu uchaguzi mdogo wa jimbo la Busanda ziwekwe pamoja katika kichwa cha habari "Maendeleo ya Uchaguzi Mdogo Busanda" ama kichwa cha habari kingine ambacho kitachaguliwa na wanajamii wengine.
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom