Vigogo wa tanesco waliosimamishwa wamwaga michuzi kwa wabunge wawatete

Tunajua waliotuhumiwa wapo humu JF waje watueleze ukweli,maana lisemwalo lipo au laja! :spy:
 
Tanzania sio nchi ya kupata tatizo la umeme. Mbona Dr. Idrisa aliweza ingawaje alipokea TANESCO katika hali ngumu kutoka kwa NET-GROUP? Hawa ni wezi tu na hawezi lolote... Injinia Mhando aliwekwa na Lowasa na Rostam... na Ngeleja na Jairo, wote wana tuhuma za Rushwa, hili linajulikana... leo hii Prof Muhongo analisafisha Shirka wajinga wengine wanamtetea Mhando, hivi mna akili kweli au ndio wanatuambia kuwa watanzania ni Kondoo hata ukiwanyoa nywele wanacheka tu kama wajinga... Mhando anacheza na serikali na hatarudi ng'ooooooooo.... mafisadi waliotegemea feva yake kama Ole Sendeka na Zitto aliyekuwa akijipanga ofisini kwake kuomba vijisenti Zizzzzzzzz.... Zitto ni fisadi tu kuna mwanasiasa gani ni msafi.....
 
Back
Top Bottom