Vigogo tisa wa CCM kuhamia CHADEMA baada ya Mei Mosi

Mmeandaliwa makao, na nafasi ipo tele! Vinginevyo mngalijulishwa na mngeona mlango wa safina umefungwa na funguo zimechukuliwa na mwenyewe. Ila tahadhali, wale wanaotegemea kuhamia mwaka 2014 kwa lengo la kupata vyeo NAFASI HAITAKUWAPO ITAKUWA IMEENEA!
 
Lema kesha sema CCM watajuta kwa nini wampa likizo ya bure, ATAWABOMOA SANA, JAMAA HATARI SANAA!
Chatanda mwenyewe amekiri kwamba Lema ni Mtoto wa Mjini. Na atawasumbua sana! Hivi magamba wanapozisikia habari kama hizi, kinawapwitaje!
 
Wanachama tisa wa CCM aka Magamba wenye hadhi ya Udiwani kutoka maeneo ya Longido na Ngorongoro watahamia kwenye jeshi la ukombozi CDM kesho lakini kuwekwa hadharani keshokutwa kupisha..Gamba linazidi kufa huku.
Source:Kamanda Lema

Keep up a good work Lema,as a mwanamapinduzi unahitaji kuwa na ideas,q'turns na ni hope yangu malengo ya Tanzania mpya yatafika,CDM pamoja!
 
Huu ni upepo tu mwambieni lema aende mtwara kama atapata kitu

kaka Makupa nakuheshimu,MTWARA tunamtaka M4C ,sisi sio Majuha kama unavyofikiri.Naomba wewe na wenzio wenye akili kama yako mtutake Radhi wana Mtwara.
 
Mwishoni utauliza nini maana ya neno magamba?

nini maana ya neno vigogo?

Attn: Kirode Crucifix aritoine Suzie @ng-wanangwa MTOTELA

. PapoKwaPapo ... Kila siku naona watu humu JF wanapenda kuuliza maana ya kigogo! ...
Haya ngoja tukueleze kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI ...


kigogo[SUP]1 [/SUP]nm vi- [a-/wa-] bigwig, important person, mogul.


Sasa kwa mujibu wa TUKI ... Diwani siyo important person?! ... (kigogo?!) ... siku nyingine wewe PapoKwaPapo na wenzako muache kuuliza maswali yasiyokuwa na kichwa wala miguu
.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli magamba yanajiondoa kuja kuvaa magwanda; wapokeeni wafuatao;
1. mkulo
2. nundu
3. chami
4. ngereja
5. majige
6. mkuchika
7. mfutakamba
8. nyalandu
9. magembe
10. ekerege seneta wa yanga
 
u no wat, sidhani kama jk anataka kuiacha ccm madarakani kwa haya anayoyafanya huko kwenye chama, kawaambia nataka kubadilisha baraza la mawaziri siyo kwamba ameshindwa kufanya hivyo yeye mwenyewe ila kafanya hivyo kwa makusudi ili asiwepo wakumlaumu, kwani alipolazimika kulivunja baraza hilo baada ya mzee wa monduli kujiuzulu aliwashirikisha? Au alipoliunda baraza hilo 2005 na 2010 aliwashirikisha? Mwenye akili atatambua hayo na mwenye macho atayaona hayo niyasemayo............................. {kidumu chama cha chadema}
 
Wanachama tisa wa CCM aka Magamba wenye hadhi ya Udiwani kutoka maeneo ya Longido na Ngorongoro watahamia kwenye jeshi la ukombozi CDM kesho lakini kuwekwa hadharani keshokutwa kupisha..Gamba linazidi kufa huku.
Source:Kamanda Lema

Wamempa likizo Bungeni sasa anafanya kazi mara 100 zaidi
Peoplessssssssssssssssss
 
Bravooo Lema Nivizuri saana Mkafanya Mageuzi ktk mikoa ya Tanga, Dsm, Lindi, Mtwara, Pemba na Zanzibar nako wahamie CDM kama ilivo maeneo ya Bara zaidi, Kama maeneo haya hamkufanya mageuzi Magogoni Mtapasikia 2.
 
Wanachama tisa wa CCM aka Magamba wenye hadhi ya Udiwani kutoka maeneo ya Longido na Ngorongoro watahamia kwenye jeshi la ukombozi CDM kesho lakini kuwekwa hadharani keshokutwa kupisha..Gamba linazidi kufa huku.
Source:Kamanda Lema

Mei mosi ndo hiyo inaishia, kesho njoo na update kwenye hii thread usianzishe nyingine
 
Back
Top Bottom