Vigogo na Umilikaji wa Ardhi bila kuendeleza: Kigamboni

Karhumanzira

Member
Oct 19, 2011
50
9
Habari Mama Tibaijuka,

Kuna vigogo wa serikali wanamiliki ma-estate bila kuendeleza na kutuachia mapori tu, sheria ya ardhi inasema mtu akimiliki eneo kwa miaka mi3 bila kuendeleza ananyang'anywa, mbona hawa watu haufanyi hivyo? Tunawaomba uwaambie wayasafishe wanatujazia mapori tu huku.
 
Kwa takwimu hizi nina imani wahusika watakuelewa, na ebu fuatilia nasikia na mfanya biashara maarufu Manji naye ana ekari kibao maeneo ya huko. itapendeza ukiweka Global Positioning System (GPS) za kila shamba ili wenye macho na akili waelewe vizuri, wazifuatilie kwenye Google Earth.
 
Ardhi ndio wanawekeza vigogo
 
unaju hapa ndipo panapoleta mkanganyiko ktk nchi yetu. Hivi kama haya maeneo yangetumia vizuri kwa kugawanya viwanja kwa ajili ya makaazi si ingesaidia kupunguza tatizo la makaazi hapa dar? Inakuwaje mtu anapewa eneo kubwa eti analihifadhi tu na wala haliendelezi. Jamani viongozi wetu kuweni waungwana basi, mbona mnafanya kufuru namna hii? Inshaalah mwenyezi mungu awape roho za imani mtukumbuke na sisi maskini ili tupate makaazi japo yaliyo na heshima ya utu wetu.
 
For sure.
 
Back
Top Bottom