Vigogo Mashuhuri wajitoa CUF

Rip Cuf....wananchi tulikupenda sana lakini mungu amekupenda zaidi!
bwana alitoa na bwana ametwaa.....jina la bwana lihabudiwe daima!


Mkuu nafikiri hii ndio proper maana inaonekana Muumin hakuwa wa mrengo huo;


Innallahi wa ina alahin raju'un!


:alien:
 
sio lazima ulale ndio upitiwe na njozi, hata ukiwa na mawazo tata unaweza ukapitiwa na njozi mchana kweupeee! hii ya cdm kuifuata cuf ni njozi ya mchana kweupeee! angalia ki mfumo wa cdm na cuf utagundua tofauti kubwa< pamoja na kwamba pipi inautamu lakini haiwezi kufananishwa na sukari, kwahiyo cuf ni pipi nacdm ni sukari.
 
Ni lazima sasa UFE CUF ili lengo lako la kuikomboa TZ litimie kwa Vyama vyenye nguvu kuchukua USUKANI; nenda CUF nenda CUF, Nenda CUF;

Msalimie TANU, ASP, wambie mwanao CCM yuko mahututi, kifo chako ni matokeo ya kujaribu kuzuia yeye asife, hakika kama wewe umeshindwa kuzuia na yeye atakufa tu 2015. Usisahau kuwaambie mwenye nguvu ni nani kwa sasa TZ.
mnapoongea upumbavu mkumbuke kuna vyama havina mbunge hata mmoja lakini havifi cuf inawabunge zaidi ya thelathini sijui hicho kifo kipi. Akili zenu zitaganda kuwazia cuf inakufa lini?
 
mnapoongea upumbavu mkumbuke kuna vyama havina mbunge hata mmoja lakini havifi cuf inawabunge zaidi ya thelathini sijui hicho kifo kipi. Akili zenu zitaganda kuwazia cuf inakufa lini?
CUF haifi inazidi kuimarika, wanachama lukuki kwa mamia wanajiunga na CUF kila siku!!
 
wewe unayesema kitafuata CHADEMA ni taahira na chizi! hapo ulipo unaongea ujinga huku uko kwenye giza hamna umeme wala maji. nina hakika unatunzwa na mafisi wewe ukiwa mbweha wa uchumi wa nchi yetu!
 
wewe ni taahira na chizi! hapo ulipo unaongea ujinga huku uko kwenye giza hamna umeme wala maji. nina hakika unatunzwa na mafisi wewe ukiwa mbweha wa uchumi wa nchi yetu!
Mbona hueleweki ulikuwa unakusudia kuwasilisha ujumbe gani na kwa nani!!??.....
 
Back
Top Bottom